Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
Awamu iliopita kulipa kodi ilikua ni option sio lazma tehSasa walikuwa wapi muda wote huo mpaka deni linakuwa kubwa namna hiyo??
Swali zuri Sana hiliSasa walikuwa wapi muda wote huo mpaka deni linakuwa kubwa namna hiyo??
Billion 7.4 mbona nying sana? Kwa biashara gani anayofanya??
Inawezekana tangu aanze biashara zake hakuwahi kulipa kodi, serikali ya awamu ya nne bhana duh ilikuwa janga la taifaMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa
kushirikiana na Kampuni ya Udalali ya Yono,
wameifungia Kampuni ya Benchmark
Productions na kuipa muda wa siku 14, iwe
imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.4,
vinginevyo mali za kampuni hiyo zitauzwa kwa mnada. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam
Meneja Msaidizi wa Madeni wa TRA, Mkoa
wa Kinondoni wa Kodi, Sylver Rutagwelera
alisema wamefikia hatua hiyo baada ya
kuidai kampuni hiyo inayomilikiwa na Rita
Paulsen kwa muda mrefu bila kulipa.
Source:Habari leo
Lets wait for their answers....You stole my thunder!
I was about to pose the same question!
Tena janga haswa!Inawezekana tangu aanze biashara zake hakuwahi kulipa kodi, serikali ya awamu ya nne bhana duh ilikuwa janga la taifa
Sasa hatakama,Awamu iliopita kulipa kodi ilikua ni option sio lazma teh
Sasa walikuwa wapi muda wote huo mpaka deni linakuwa kubwa namna hiyo??