Madam Ritha wa BSS Kufilisiwa

Madam Ritha wa BSS Kufilisiwa

Huwa mara nyingine kunakuwaga na makubaliano baina ya maafisa wasio waaminifu na mlipa kodi mahesabu yanafanyiwa mafelmeee, ukija ukaguzi mwingine unakuta kuna deni kubwa kuliko lile ambalo lilifanyiwa assesment na mfanyakazi mpiga dili.
Kona kona izi za watz zitawacost
 
7.4 bilion aisee hzo mal zitakazouzwa zitafika hata nusu ya hilo deni...
 
Alikuwa anategemea kulipa kwa mtindo gani,nadhani mwenyewe hana wasiwasi anajua alichokuwa anakifanya au aliahidiwa kupewa msamaha na sasa jamaa wamekula kona!!
 
Mwambie mengi akusaidie kulipa hakuna namna bora ungebaki ITV
 
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Kampuni ya Udalali ya Yono,
wameifungia Kampuni ya Benchmark Productions na kuipa muda wa siku 14, iwe imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.4, vinginevyo mali za kampuni hiyo zitauzwa kwa mnada. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Meneja Msaidizi wa Madeni wa TRA, Mkoa wa Kinondoni wa Kodi, Sylver Rutagwelera alisema wamefikia hatua hiyo baada ya
kuidai kampuni hiyo inayomilikiwa na Rita Paulsen kwa muda mrefu bila kulipa.


Source:Habari leo

Milage matters
 
Back
Top Bottom