Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
- Thread starter
-
- #41
Video production,documentaries n.kHiyo kampuni inahusika na biashara gani
Kona kona izi za watz zitawacostHuwa mara nyingine kunakuwaga na makubaliano baina ya maafisa wasio waaminifu na mlipa kodi mahesabu yanafanyiwa mafelmeee, ukija ukaguzi mwingine unakuta kuna deni kubwa kuliko lile ambalo lilifanyiwa assesment na mfanyakazi mpiga dili.
mkuu hapo kwenye kufulia utakua unatudanganya aisee.Yule Jimama mpenda Vijana kafulia sasa hiv antangaza AZAM tv Reality Show dah aisee hapa kazi Tu hakuna kukwepa Kodi hawa angalii Sura
Milage mattersMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Kampuni ya Udalali ya Yono,
wameifungia Kampuni ya Benchmark Productions na kuipa muda wa siku 14, iwe imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.4, vinginevyo mali za kampuni hiyo zitauzwa kwa mnada. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Meneja Msaidizi wa Madeni wa TRA, Mkoa wa Kinondoni wa Kodi, Sylver Rutagwelera alisema wamefikia hatua hiyo baada ya
kuidai kampuni hiyo inayomilikiwa na Rita Paulsen kwa muda mrefu bila kulipa.
Source:Habari leo
Alikuwa anakwepa kulipa kodi.Swali zuri Sana hili