Madam Sepenga kujenga SHOPPING MALL Bagamoyo

Madam Sepenga kujenga SHOPPING MALL Bagamoyo

Shilole mwenzie mjanja baada ya kuona uzuri wote kwisha ziwa ndala na hana soko tena akamtafuta jamaa ambaye sio star,hana mihela na anajua ataweza kumkontrol na japokuwa jamaa han hela ila anaweza kumtimizia mahitaji yake ya msingi ,akaolewa sasa hivi wanajipikia tu ubwabwa wao shishi food,
[emoji23][emoji23][emoji23]Nacheka utadhan mazuri
 
Tatizo la huyu dada akianzishaga kitu hakiendelezi tena anaamia kingine, alikuwa na lipstick, Endless fame, vyote hivyo holaaaa sasa hivi yupo kwenye mapishi na kuhoji watu, anakuwa hatulii. 🤦🤪
 
kama anawazo zuri kama hilo namuomba tushirikiane,
ila kwa mawazo yangu mimi nadhani sehemu nzuri kwa biashara hiyo hivi sasa ni Maeneo ya mbezi mwisho kuliko na stendi ya mabasi ya mikoani.
 
Halafu waziri wa Jiwe anakuja na wazo eti serikali ijenge MALL kila wilaya!!! Huyu Waziri ana akili kweli?
Watu wanahamia digital malls itafika wakati hazitakuwepo.
 
Wema huyu huyu aliyejenga Nyumba ya milioni 400 na kununua vitu vya ndani vya milioni 50 kisha akamwita Zamaradi amfanyie Interview? Wema huyu huyu aliyejitapa kununua Q7 kwa fedha zake mwenyewe? Wema huyu huyu aliyejimwambafy kwamba ameanzisha ENDILESI FEMU?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom