M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
AsibughudhiweMuwezekaji mzawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsibughudhiweMuwezekaji mzawa
Mitano tenaAsibughudhiwe
Mall ya maboksi labda au ya kuchora. Huyo kajiishia atafute mzee aolewe tu atulie. Maana mpaka sasa ameshakuwa irrelevant.Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo
**Hongera Madam
View attachment 1299938
Wema huyu huyu aliyejenga Nyumba ya milioni 400 na kununua vitu vya ndani vya milioni 50 kisha akamwita Zamaradi amfanyie Interview? Wema huyu huyu aliyejitapa kununua Q7 kwa fedha zake mwenyewe? Wema huyu huyu aliyejimwambafy kwamba ameanzisha ENDILESI FEMU?
Wema yupi huyu aliyekuja kupanga nyumba ya laki kisemvule ama
Huo uwongo sasa, huko kisemvule afuate nini? Hajachala kiasi hicho aseeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]Wema yupi huyu aliyekuja kupanga nyumba ya laki kisemvule ama
Kisemvule ni wapi?Huo uwongo sasa, huko kisemvule afuate nini? Hajachala kiasi hicho aseeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sipajui, nahisi iko wilaya ya Temeke.Kisemvule ni wapi?
Kisemvule ni mbele ya Mbagala kama unaelekea Vikindu.Hata sipajui, nahisi iko wilaya ya Temeke.
Duuuuh mbna mbali sana huko lol.Kisemvule ni mbele ya Mbagala kama unaelekea Vikindu.