Madam Sepenga kujenga SHOPPING MALL Bagamoyo

[emoji23][emoji23][emoji23]Nacheka utadhan mazuri
 
Tatizo la huyu dada akianzishaga kitu hakiendelezi tena anaamia kingine, alikuwa na lipstick, Endless fame, vyote hivyo holaaaa sasa hivi yupo kwenye mapishi na kuhoji watu, anakuwa hatulii. 🤦🤪
 
kama anawazo zuri kama hilo namuomba tushirikiane,
ila kwa mawazo yangu mimi nadhani sehemu nzuri kwa biashara hiyo hivi sasa ni Maeneo ya mbezi mwisho kuliko na stendi ya mabasi ya mikoani.
 
Halafu waziri wa Jiwe anakuja na wazo eti serikali ijenge MALL kila wilaya!!! Huyu Waziri ana akili kweli?
Watu wanahamia digital malls itafika wakati hazitakuwepo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…