Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

Amepewa ushauri atafute bwana tajiri amuoe. Hivyo sasa hivi mabilionea kina Le Mutuz wakae mkao wa kula
 
Amepewa ushauri atafute bwana tajiri amuoe. Hivyo sasa hivi mabilionea kina Le Mutuz wakae mkao wa kula
Le Mutuz kakimbia child support huku New York.

Kashindwa kuwatunza watoto wake mwenyewe, mabinti ambao wanaufukuzia umri wa Wema.

Utajiri huu labda kama kaupata juzi.
 
Mimi ninachojua alichobakiwa nacho Wema ni umaarufu wa magazetini na mitandaoni. Lakini keshachuja siku nyingiiii
 
Hapo alipokua miss alikua chombo,sasa hivi hata mimi namzidi hahaah
 
Aliye kutuma kuja kuomba msamaha kwa niaba ya watanzania ni nani? Je wewe ndio msemaji wetu? Mwana mtoka pabaya wewe
 
Umesahau jinsi alivyomsadia kibakuli kushinda tuzo za kili na kumrudisha kwny chati n kumuwezesha kuwa balozi wa matembo mkuu
 
Pool Table tumecheza Embasy Hotel kabla Magufuli na Makonda hawajaja mjini, token buku enzi hizo...
Kwa sasa tujadili laana ya Madam Wema Sepetu ambayo inaweza kutupata kama hatujamtaka radhi.
Hahahahahaha
 
Pool Table tumecheza Embasy Hotel kabla Magufuli na Makonda hawajaja mjini, token buku enzi hizo...
Kwa sasa tujadili laana ya Madam Wema Sepetu ambayo inaweza kutupata kama hatujamtaka radhi.
Sio mzima wewe
 
Nyinyi ndo ambao mnahitajika na Wakuu wa mikoa mkamatwe mpelekwe shamba
 
Una nyege ya kizee au unatumia sarcasm kumchafua Wema? Yaani unataka kuniambia kwa akili yako kweli Wema anafaa kuwa mke wa mtu, kwa vigezi vipi anavyokidhi yeye? Wacha kutuchefua hapa sie wanaume wastaarabu.
mmmmhhh we ni zaidi ya hater,kipi cha ajabu alichofanya wema mpk asifae kuwa mke wa mtu,wanaolewa makahaba walioshindikana sembuse wema looooh
 
humu ndani kuna Miungu watu wanajikuta wao wasafi kumbe ndo wachafu mpk shetani anaomba poo....wema ana mabaya yake ila pia she has a good side of her kama binadamu wengine penye ukweli tuseme....
 
humu ndani kuna Miungu watu wanajikuta wao wasafi kumbe ndo wachafu mpk shetani anaomba poo....wema ana mabaya yake ila pia she has a good side of her kama binadamu wengine penye ukweli tuseme....
mmhhhhhhhh madam kwa kutetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…