Dah! Umeua NduguNaona kakutuma uje umsifie, vp umepewa bei gani mkuu huyu madame wako si ndio kishoka aliyechakachua LUKU?
Leo hii unakuja kutusumbua hapa?
Binafsi na familia yangu sitaweza kumuomba msamaha mtu aliyekwepa kulipa umeme.
So mi nimekuwa wema tena...kisa nimekubalina na mleta hoja 😕😕😕😕Ebu Wema tuambie mwenyewe ni nini cha maana ulichokifanya hapa Tanzania?
Umiss haukushinda ulipewa tu kutokana na jina la baba yako. Jiulize, una uzuri gani shinda Jokate au Lisa Jensen? Hawa wanakuzidi mara 10 kwa uzuri.
Umiss haujautendea haki Zaidi ya scandals za kupora mabwana kutwa kucha. Wewe ni mwizi wa maji na umeme na ilibidi uwekwe ndani ila Kikwete kwa usanii wake akakuachia tu.
Wanawake wenzako popote pale wakuonapo hawataki kujihusisha na wewe kutokana na tabia yako ya kujirahisisha na mabwana zao kisha kuishia kutoka nao kimapenzi.
Maisha yako ni ya kuunga unga kimagumashi, ukiona mtu ana hela unamwita kaka mwisho anakuwa mpenzi wako, utamfirisi kama Idrissa mwisho unamtema akiishiwa.
Ni nini cha maana ulichokifanya hapa Tanzania? Nobody hates you, you are just bogus na tumekuchoka.
So mi nimekuwa wema tena...kisa nimekubalina na mleta hoja 😕😕😕😕
Binti yako angekuwa Miss Tanzania ungejisikiaje?Kuwa miss ndio mafanikio?..
Niko kwenye kompyuta mkuu, Dell Precision T5500 Workstation... Haina dalili za ufeki!Hivi visimu vya Kichina wacha tu vizimwe vyote mwezi wa sita tupunguze ghasia hapa mjini. haya ndio madhara ya kutumia simu fake hata mawazo yako yanakuwa fake tu.
Sitegemei kama ningemruhusu ashiriki upumbavu huo...Binti yako angekuwa Miss Tanzania ungejisikiaje?
Kumbe Serikali huwa inajihusisha na upumbavu? Mbona wale Wabunge wenu machachari walichangia positively, nakushangaa wewe kibaraka.Sitegemei kama ningemruhusu ashiriki upumbavu huo...
Mimi najipendekeza. Sasa kwa mwanamke mwenzangu nitafute nini...Hivi Kweli kwa akili zako Kabisa umekaa chini kuandika upumbavu wakujipendekeza kama huu? Em acha shobo fanya kaZi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hakika umenena ukweli huyu ni mtanzania mwenzetu pia hajawahi kutuletea shemeji nje ya nchi hii ni kuonyesha kwamba vijana wetu wana nufaika nae