Madame B, mbona husomeki...?

Madame B, mbona husomeki...?

bronze.png

Madame B, hata haka kautepe ka BRONZE jamani kanakushinda....!

7638390034_619c7dc483.jpg


Jina kuubwa, lakini unatuangusha bana, hebu sema na shemeji akuondolee hii aibu....... LOL

Copy to: Paloma, amu, Asprin, na Kipaji Halisi.....
Duh kitambo sana
 
Back
Top Bottom