QUOTE="lovelovelove, post: 29865544, member: 531181"]madame B usisahau kuleta mrejesho wa nini kilijiri baada kupiga gambe za kutosha🙈🙈🙈
Vipi Mangi hakuna kitu? Mwendo wa wakibamia?[/QUOTE]Jamani jamani....ndo naamka hapa.
Ngoja nipige supu niwape mrejesho....hahahha
Kabisaaaa😂😂😂😂 kuna Prof m1 anasemaga maisha haya robo😂😂😂
Kabisaaaa
Tunaishi mara moja tu duniani.
Ukichezea maisha ndo ntoleeeeeee.....
Zina nini???ofa kama hiz huwa😛😛😛...
Hahahah asante mamii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole kwa uchovu jamanii
Hahahahaha😂😂😂😀unanikumbusha mbaaaalii..khaaa yeah unazinduka unajiuliza ni usk au😂😂😀😀..hongera mamy...
Mengine siri yangu.Vipi Mangi hakuna kitu? Mwendo wa wakibamia?
Vipi mbona Mangi haonekani??!!Hahahahaha
Yaani unazinduka afu unajikuta huelewi kama usiku au mchana.
Unajikuta mazigazi tupu
Zina nini???
Ila mimi nikifikiriaga kufa huwa napata ganzi jamani.😂😂😂🖐🖑🔥🔥🔥
Vipi mbona Mangi haonekani??!!
Ila mimi nikifikiriaga kufa huwa napata ganzi jamani.
Kwanini kifo lakini....dah!!!
Ila raha ya kunywa na uliyemzoea kuna raha yake mwaya.zina vibes..imagine mnakutana wote mko poa hakuna kuoneana maaibu mtu unagonga🍸🍷🍻🍺.. sio unaanza kuvunga uagize soda😩😩 nayapenda tu...mazuri... matamu!..yanaleta msisimko km wa cocacola😛😛😩!
Naona umemtoa knock out maneno kwishney!General Mangi unaitwa huku....
Ngoja aje ajibu mwenyewe
Ewe Madame B
Madame mtata,
Mangi ndo kaingia jijini mida hii, nipo hapa Malaika Lounge ya CBE....
Njoo tunywe, tule, tuserebuke na mengine yaendelee!!
Ikishindikana leo hatuonani tena.
Karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongeramimi sifikirii...hapana kbs sitak kbs kufikiria hilo
HahahhahahaNaona umemtoa knock out maneno kwishney!
Acha kubana wewe.Mangi unatuangusha wale tuliofikiria umepunguza bata ukiwa unajipanga na kujinoa kwa ajili ya kurekebisha makossa ya awali.