Madame B, Nimeingia dodoma, Njoo Malaika Lounge Ukutane na Mangi

Madame B, Nimeingia dodoma, Njoo Malaika Lounge Ukutane na Mangi

Jamani jamani....ndo naamka hapa.
Ngoja nipige supu niwape mrejesho....hahahha
Vipi Mangi hakuna kitu? Mwendo wa wakibamia?[/QUOTE]

😂😂 na madame ni mtu wa blak n wht..hahahaa...akitibuliwa tu..
 
zina vibes..imagine mnakutana wote mko poa hakuna kuoneana maaibu mtu unagonga🍸🍷🍻🍺.. sio unaanza kuvunga uagize soda😩😩 nayapenda tu...mazuri... matamu!..yanaleta msisimko km wa cocacola😛😛😩!
Ila raha ya kunywa na uliyemzoea kuna raha yake mwaya.
Nina anko wangu, akiona kuna watu anakunywa nao anawajua...basi anachapa usingizi kama yuko kitandani.
Akiamka utamsikia, nimelala na ninyi na nimeamka na ninyi.
Chezea ndole wewe....hahaha.
Eti anaenda Club Masai na analala kabisa afu yuko peke yake
 
Ewe Madame B
Madame mtata,

Mangi ndo kaingia jijini mida hii, nipo hapa Malaika Lounge ya CBE....

Njoo tunywe, tule, tuserebuke na mengine yaendelee!!

Ikishindikana leo hatuonani tena.

Karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mangi unatuangusha wale tuliofikiria umepunguza bata ukiwa unajipanga na kujinoa kwa ajili ya kurekebisha makossa ya awali.
 
Back
Top Bottom