Madame B, Nimeingia dodoma, Njoo Malaika Lounge Ukutane na Mangi



😊😊😊 labda ukutane na strangers..na strangers mie naweza kuwajua..unaona unakunywa na mtu anakuwa anakulazimisha unywe anakumiminia tu mabia au akuambie uonje yake huyo kuwa naye makini...mie nimewah kiukwel kunywa na mshikaj fulan hakua na wenge wala nn.. aliniuliza tu unatumia jinywaj gan nikamtaji..kaja navyo kama vyoote tukasafiri umbali mrefu tunajinywea tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..ah maisha yenyew robo haya..huwa nataman nipate marafik wa hvyo... mnajirusha kila mtu anarud kwake...sio nakunywa mara umenigusa kiuno ova mpenzio😩😩😩😩😩😩😩!hapo naishia 3 tu
 
Hahahha
Kuna wale bia zikikolea, wanasimamisha dushe.
Afu kuna wale anakuuliza unakunywa nini ukishamtajia anaenda kaunta na kurudi na bia zote zimefunguliwa.
Kuna siku niligoma kunywa bia.
Kaja na bia 4 zote kafungua.
Nikasema 2 wewe 2 mimi...akakataa.
Nikasema sinywi....waweza jikuta unaamkia mtaroni.
Afu mtu simjui.
 


hao sasa ndo wabaya... inabid akili iwe actv sana..sinyiw na kila .mtu tu aisee..haha yule nilibahatika naye kwakwel..khaaa aliniuliza unapenda nn nikasema nipeleke club.. hahaa akaniambia yy hajui kucheza ila hatak ninunuliwe pombe na mtu😁😁..usk ule hautakuna jirudia😊😊 nilicheza hapo rainbowπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jaman...!ah Mungu ahukumu tu kwakweli
 

Kuna mtu nilishawahi onana naye day 1 anakunywa, anacheza muziki ananinyua tucheze, ananinyonya mate, ananikumbatia, yaani kama mtu na mpenzi wake. Muda wa kuondoka ilibidi nimwombe simu ya dada yake wa kazi atuelekeze njia. Nikafikisha akiwa hata hajui amefikaje. Niliona huruma sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š..huyo noma..ukiona unalewa piga maji lita nzima unarudi kule kule.freshyyy
 
Hahahaaa
Ila mie sio siri napenda niende club alone .
Kama company nikutane nayo huko huko.
Huwa naacha kila kitu home naenda mimi kama mimi au lah naacha kaunta.
Nacheza weeeee mpaka saa 2 asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…