Madame B, Nimeingia dodoma, Njoo Malaika Lounge Ukutane na Mangi

Ila raha ya kunywa na uliyemzoea kuna raha yake mwaya.
Nina anko wangu, akiona kuna watu anakunywa nao anawajua...basi anachapa usingizi kama yuko kitandani.
Akiamka utamsikia, nimelala na ninyi na nimeamka na ninyi.
Chezea ndole wewe....hahaha.
Eti anaenda Club Masai na analala kabisa afu yuko peke yake

😊😊😊 labda ukutane na strangers..na strangers mie naweza kuwajua..unaona unakunywa na mtu anakuwa anakulazimisha unywe anakumiminia tu mabia au akuambie uonje yake huyo kuwa naye makini...mie nimewah kiukwel kunywa na mshikaj fulan hakua na wenge wala nn.. aliniuliza tu unatumia jinywaj gan nikamtaji..kaja navyo kama vyoote tukasafiri umbali mrefu tunajinywea tu😂😂😂..ah maisha yenyew robo haya..huwa nataman nipate marafik wa hvyo... mnajirusha kila mtu anarud kwake...sio nakunywa mara umenigusa kiuno ova mpenzio😩😩😩😩😩😩😩!hapo naishia 3 tu
 
😊😊😊 labda ukutane na strangers..na strangers mie naweza kuwajua..umiona unakunywa na mtu anakuwa anakulazimisha unywe anakumiminia tu mabia au akuambir uonje yake huyo kuwa naye makini...mie nimewah kiukwel kunywa na mshikaj fulan hakua na wenge wala nn.. aliniuliza tu unatumia jinywaj gan nikamtaji..kaja navyo kama vyoote tujasafiri umbali mrefu tunajinywea tu😂😂😂..ah maisha yenyew robo haya..huwa nataman nipate marafik wa hvyo... mnajirusha kila mtu anarud kwake...sio nakunywa mara umenigusa kiuno ova mpenzio😩😩😩😩😩😩😩!hapo naishia 3 tu
Hahahha
Kuna wale bia zikikolea, wanasimamisha dushe.
Afu kuna wale anakuuliza unakunywa nini ukishamtajia anaenda kaunta na kurudi na bia zote zimefunguliwa.
Kuna siku niligoma kunywa bia.
Kaja na bia 4 zote kafungua.
Nikasema 2 wewe 2 mimi...akakataa.
Nikasema sinywi....waweza jikuta unaamkia mtaroni.
Afu mtu simjui.
 
hao sasa ndo wabaya... inabid akili iwe actv sana..sinyiw na kila .mtu tu aisee..haha yule nilibahatika naye kwakwel..khaaa aliniuliza unapenda nn nikasema nipeleke club.. hahaa akaniambia yy hajui kucheza ila hatak ninunuliwe pombe na mtu😁😁..usk ule hautakuna jirudia😊😊 nilicheza hapo rainbow😂😂😂😂 jaman...!ah Mungu ahukumu tu kwakweli
 
Waoooo
Aisee.
Tajiri uko Dodoma leo.
Ngoja nijiandae
ndo nimeingia na mie tuonane[emoji12]
20181206_020538.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😊😊😊 labda ukutane na strangers..na strangers mie naweza kuwajua..unaona unakunywa na mtu anakuwa anakulazimisha unywe anakumiminia tu mabia au akuambie uonje yake huyo kuwa naye makini...mie nimewah kiukwel kunywa na mshikaj fulan hakua na wenge wala nn.. aliniuliza tu unatumia jinywaj gan nikamtaji..kaja navyo kama vyoote tukasafiri umbali mrefu tunajinywea tu😂😂😂..ah maisha yenyew robo haya..huwa nataman nipate marafik wa hvyo... mnajirusha kila mtu anarud kwake...sio nakunywa mara umenigusa kiuno ova mpenzio😩😩😩😩😩😩😩!hapo naishia 3 tu

Kuna mtu nilishawahi onana naye day 1 anakunywa, anacheza muziki ananinyua tucheze, ananinyonya mate, ananikumbatia, yaani kama mtu na mpenzi wake. Muda wa kuondoka ilibidi nimwombe simu ya dada yake wa kazi atuelekeze njia. Nikafikisha akiwa hata hajui amefikaje. Niliona huruma sana.
 
😂😂😂🙊🙊🙊🙊..huyo noma..ukiona unalewa piga maji lita nzima unarudi kule kule.freshyyy
 
hao sasa ndo wabaya... inabid akili iwe actv sana..sinyiw na kila .mtu tu aisee..haha yule nilibahatika naye kwakwel..khaaa aliniuliza unapenda nn nikasema nipeleke club.. hahaa akaniambia yy hajui kucheza ila hatak ninunuliwe pombe na mtu😁😁..usk ule hautakuna jirudia😊😊 nilicheza hapo rainbow😂😂😂😂 jaman...!ah Mungu ahukumu tu kwakweli
Hahahaaa
Ila mie sio siri napenda niende club alone .
Kama company nikutane nayo huko huko.
Huwa naacha kila kitu home naenda mimi kama mimi au lah naacha kaunta.
Nacheza weeeee mpaka saa 2 asubuhi
 
Back
Top Bottom