Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Haina mbaya.
Kama rijali ananila tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina mbaya.
😂😂😂🙊🙊🙊🙊..huyo noma..ukiona unalewa piga maji lita nzima unarudi kule kule.freshyyy
mambo si ndo hayo!Haina mbaya.
Kama rijali ananila tu
Kama kalambwanda
Haina mbaya.
Kama rijali ananila tu
Mkuu nimekaa hapa karibu na banda la chipsi nimevaa T-shirt nyekundu na kofia nyeusi vipi wewe uko upande gani hapa tufahamiane?Ewe Madame B
Madame mtata,
Mangi ndo kaingia jijini mida hii, nipo hapa Malaika Lounge ya CBE....
Njoo tunywe, tule, tuserebuke na mengine yaendelee!!
Ikishindikana leo hatuonani tena.
Karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekaa hapa karibu na banda la chipsi nimevaa T-shirt nyekundu na kofia nyeusi vipi wewe uko upande gani hapa tufahamiane?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa
Ila mie sio siri napenda niende club alone .
Kama company nikutane nayo huko huko.
Huwa naacha kila kitu home naenda mimi kama mimi au lah naacha kaunta.
Nacheza weeeee mpaka saa 2 asubuhi
Kwa uzito wa kinywaji na chemistry itakayokuwepo baina yenu,kulana ni jambo dogo sana wakati ukifika.sio lazma labda muamuwe wenyew
Kama kalambwanda
Kama kafa shoga
Kwa uzito wa kinywaji na chemistry itakayokuwepo baina yenu,kulana ni jambo dogo sana wakati ukifika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap! 50/50 yategemea pia upande wa kike,kama ni wale ganda la ndizi hatoona tabu kuliwa maana maamuzi atayaacha kwa mshika mpini(mwanaume).sio kweli bwana...50 50 lKin
This is noted and will well be kept on records, what do you say???zina vibes..imagine mnakutana wote mko poa hakuna kuoneana maaibu mtu unagonga🍸🍷🍻🍺.. sio unaanza kuvunga uagize soda😩😩 nayapenda tu...mazuri... matamu!..yanaleta msisimko km wa cocacola😛😛😩!
This is noted and will well be kept on records, what do you say???
Why so that nigga?JF is a very intriguing and fun place!
People meet and have fun in real life...
For me,I wish I can.....
I'm an internet character,nobody meets nobody in real life
I better die!
Vipi Mangi hakuna kitu? Mwendo wa wakibamia?[/QUOTE]HahahahahaJamani jamani....ndo naamka hapa.
Ngoja nipige supu niwape mrejesho....hahahha
Why so that nigga?
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau