KERO Madampo ya taka maeneo ya sokoni ni kero

KERO Madampo ya taka maeneo ya sokoni ni kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Omi2020

Member
Joined
Nov 13, 2020
Posts
40
Reaction score
43
Nashindwa kuelewa ni kwanini madampo yako pembezoni ya masoko isitoshe mabwana afya wapo na ni maeneo ya vyakula na huduma mbalimbali.

Aidha unakuta fremu ipo karibu na dampo laki bado mfanyabiashara wa hapo anatoa hela ya taka ilhali anapeleka mwenyewe uchafu dampo.

Imekaaje hi wadau?
 
Hii ni kushindwa kwa Taasisi husika kusimamia usafi/uchafu. Elimu ya kupambana na taka na muhimu sana kwa jamii na law enforcement ni muhimu pia.
 
Nashindwa kuelewa Ni kwa Nini madampo yako pembezoni ya masoko...isitoshe mabwana afya wapo na Ni maeneo ya vyakula na huduma mbalimbali...aidha unakuta fremu IPO karibu na dampo laki bado mfanyabiashara was hapo anatoa hela ya taka ilhali anapeleka mwenyewe uchafu dampo....imekaaje hi wadau??!
uongozi wa soko uchukue hatua na kushughulika na jambo hilo 🐒

kamati za afya na mazingira za mtaa husika mnafanya nini? mpka viongozi waje drugu zango jambo dogo kama hilo 🐒
 
Back
Top Bottom