Mdau Makini
Member
- Sep 18, 2012
- 70
- 10
National Examination council of Tanzania(NECTA).Serikali kwa kupitia Wizara ya Elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya Kidato cha Nne.Hapo awali madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:A=81%-100%B=61%-80%C=41%-60%D=21%-40%F=0-20%Mabadiliko mapya ni kama ifuatavyo:A=80%-100%B=65%-79%C=50%-64%D=35%-49%F=0-20%Taarifa hii imetolewa mapema ili wanafunzi wa Kidato cha Nne waanze kujiandaa vyema na Mitihani yao.Taarifa hii imetolewa katika ukurasa wa FACEBOOK wa NECTA! Na imeagizwa kutembelea Website yao ambayo ni ( http:/www.necta.go.tz).