Madaraja mapya kwa Mitihani ya Kidato cha nne ndo haya hapa!!!.

Mdau Makini

Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
70
Reaction score
10
National Examination council of Tanzania(NECTA).Serikali kwa kupitia Wizara ya Elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya Kidato cha Nne.Hapo awali madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:A=81%-100%B=61%-80%C=41%-60%D=21%-40%F=0-20%Mabadiliko mapya ni kama ifuatavyo:A=80%-100%B=65%-79%C=50%-64%D=35%-49%F=0-20%Taarifa hii imetolewa mapema ili wanafunzi wa Kidato cha Nne waanze kujiandaa vyema na Mitihani yao.Taarifa hii imetolewa katika ukurasa wa FACEBOOK wa NECTA! Na imeagizwa kutembelea Website yao ambayo ni ( http:/www.necta.go.tz).
 
Nimepitia kwenye website ya necta sijaona taarifa hiyo . Necta walishatangaza hawana official page ya facebook , na mojawapo kati ya page fake hizo ilitumika kutangaza tarehe ya kutoa matokeo kabla hayajatoka ndipo necta walipokana kuwa na page ya fb,sipingani na hiyo taarifa ila tuichukue kwa umakini na taadhari b'coz haijatoka kwenye reliable source kwa hiyo sio taarifa ya uhakika. Tumshukuru pia mtoa taarifa kwa kuainisha source
 
Mwanafunzi nanayepata alama kati ya 21 na 34 anakuwa katika daraja gani?
 
Mdau Makini ee...
1. Mtandao wa Wizara haujatoa hiyo habari.
2. NECTA hawana ukurasa halali Facebook. Je wamefungua juzi.?
3. Je mtu akipata 32 atakuwa daraja gani?
4. Je lini Wizara imetoa Waraka? Haya mambo hayatolewi kama udaku.
Naomba utoe ufafanuzi yakinifu haraka iwezekanavyo kabla hatujakuweka kwenye orodha ya watu wanaoandika utumbo. Pia kabla hajujakufikisha kwa Moderators.
 
Nimepitia kwenye website ya necta sijaona taarifa hiyo . Necta walishatangaza hawana official page ya facebook , na mojawapo kati ya page fake hizo ilitumika kutangaza tarehe ya kutoa matokeo kabla hayajatoka ndipo necta walipokana kuwa na page ya fb,sipingani na hiyo taarifa ila tuichukue kwa umakini na taadhari b'coz haijatoka kwenye reliable source kwa hiyo sio taarifa ya uhakika. Tumshukuru pia mtoa taarifa kwa kuainisha source

nashangaa ingawa NECTA WALIIKANA HII AKAUNT YA FB,LAKINI HAKUNA HATUA ZA KUIDHIBITI,,,,NA INAENDELEA KUTAMBA
 
Kwa cc walimu kama kuna mabadiliko 2taletewa waraka wa serikali.
 
Sikuwa na taarifa ya NECTA kutokuwa na account FAcebook, but lisemwalo lipo kama halipo basi lipo lipo njiani linakuja@kimbori
 
habari ni ya kweli ila grading sio hizo. Mdogo wangu aliniambia juzi kuwa mawetangaziwa shuleni kwao kibasila na headmistress kuwa kuna mabadiliko. Madaraja mapya ni haya hapa:

A = 80%-100%

B = 65%-79%
C = 50%-64%
D = 35%-49%
F = 0%-34%
 
Je una uhakika? Mbona imekuwa siri, hata Waalimu hawajui. Naomba utupe chanzo halisi.
 
habari ni ya kweli ila grading sio hizo. Mdogo wangu aliniambia juzi kuwa mawetangaziwa shuleni kwao kibasila na headmistress kuwa kuna mabadiliko. Madaraja mapya ni haya hapa:

A = 80%-100%

B = 65%-79%
C = 50%-64%
D = 35%-49%
F = 0%-34%

zero zitaongezeka zaid..............
 
Hawaponi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom