Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

Nan kasema uongo?? Au Nan muongo? Unaendika au anasikiliza?? Mbn kwa sabaya haukuwa uongo ila kwa mbowe Ni ukwel?? Achen imbalance
 
aliyemfanyia hizo dhuluma leo hii yuko wapi? kama hayupo ndio ujue kweli mungu hajaribiwi hata kidogo
 
Mbowe mwenyewe anachopitia sasa hivi Ni matokeo ya kuonea na kuua watu.

Karma is a bitch.
Wafuasi wake hawataki kabisa kuliangalia hilo......wameng'ang'ana na upande mmoja tu wa shilingi
 
Tunamzungumzia Mbowe
Ukimzungumzia mbowe maana yake unaizungumzia cdm pia, hata wewe unalijua hilo na hauna ujanja wa kuliepuka. Isitoshe tunachokisikia huko mahakamani ni matendo yake yaliyoambatana na nia ya uchukuaji wa madaraka kupitia cdm
 
Je, haiwezi kuwa nae analipa km alivyosuggest mdau mmoja hapo juu?!!!
 
Ndiyo utoke mbele utuhadithie kwa mifano na uhalisia kuhusu huo uongo na ghiliba.Usieleze kwa hisia tu bila ushahidi au vielelezo.
Kuhusu lowasa na list of shame hamkuongopa na kisha mkamsafisha tena kwa uongo?
Hapo uadilifu wenu upo wapi?
 
Kuhusu lowasa na list of shame hamkuongopa na kisha mkamsafisha tena kwa uongo?
Hapo uadilifu wenu upo wapi?
Hakusafishwa(usiwekee watu maneno vinywani)!Alipokewa tu ili asijinyonge kwa kudhani ametengwa kama alivyorubuniwa na Magufuli na kurudi CCM.
 

Mungu huacha magugu na ngano zikue mpaka mwisho. Watu wabaya huishi muda mrefu sana kwa kuwa Mungu hutupa nafasi tutubu. Tubadilike.

Sijui wewe mungu wako wa visasi umemtoa wapi. KUMBUKA kipimo ukitumiacho kujudge wengine kikirudi kwako Sijui itakuwaje. Mbele ya Mungu hatuna mastahili mana anajua na yaliyo ndani. Mimi sijui yaliyofichika kwako na wewe pia kwangu. Stop judging people.
 
Matendo ya yule kiongozi wao yalidhihirisha dhahili kuwa uchaguzi ungekuwa huru na haki wangeanguka mapema asubuhi,Mungu hakupenda akaamua kuling'oa na kulifwekelea mbali shina.Wajifunze kwa hilo.
 

unatoa mfano wa kijinga sana. Hivi wewe ufanyayo gizani moyo wako Mungu angekuwa wa kisasi ungekuwa mzima. Acha kuhubiri mambo ya giza. Maisha ya hapa duniani tuna mengi sana kama binadamu tunafanya. Tena kwenye hayo mambo ya Siasa umkileta Mungu wa kisasi Mbowe naye angekuwa kama Sisi wengine kaangamizwa.

Hivi Kuna uchafu gani ambao haufanyiki hapa Tz huku Mitaani. Upumbavu wako wewe mkubwa na mtoa mada Ni kuwa na majibu kabla ya maswali hamjayaona.
 
Imekugusa kunako tayari umeshapanic. Narudia tena ni suala la muda tu fimbo ya Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi itawaadhibu mashahidi wote walioapa Kwa jina lake kushuhudia uongo ili wenzao waumizwe.
 
Sabaya chali, jiwe chali, ndugai chali, makonda chali, byakanwa chali, musiba chali, kange chali bado unataka kuwa tomaso tu
 
C
Mbona viko wazi tu hivyo mdau, hata haihitaji nguvu kuviona. Mfano mdogo tu, hamkomi Kuwaita cuf na act kuwa ni ccm b, wametumwa na ccm, siyo wapinzani n.k huku nyie ndio mnaohamia huko ccm.
Uuf (ya lipumba) ni ccm B+, cuf bara (ya zito) ni ccm B. Cuf ya visiwani ndiyo wapinzani halisi.
 
Ukimzungumzia mbowe maana yake unaizungumzia cdm pia, hata wewe unalijua hilo na hauna ujanja wa kuliepuka. Isitoshe tunachokisikia huko mahakamani ni matendo yake yaliyoambatana na nia ya uchukuaji wa madaraka kupitia cdm
Utakua mpumbavu kama Akina Kingai kama utaamini hivyo
 
Hakusafishwa(usiwekee watu maneno vinywani)!Alipokewa tu ili asijinyonge kwa kudhani ametengwa kama alivyorubuniwa na Magufuli na kurudi CCM.
Kwa hiyo ninyi ni wafadhili wa mafisadi mlio watangaza kisha mnawafariji kwa kuwapa nafasi nyeti kwenye nchi?

Basi hamfai kuwa chama cha jamii labda mbaki na uongozi wa ukoo
 
Kwa hiyo ninyi ni wafadhili wa mafisadi mlio watangaza kisha mnawafariji kwa kuwapa nafasi nyeti kwenye nchi?

Basi hamfai kuwa chama cha jamii labda mbaki na uongozi wa ukoo
Hivi,huyo unayemuita fisadi,kwa sasa yupo chama gani?Halafu upime ulichouliza.
 
Hakuna kitu kibaya kama "utawala ulifitinika" kuongoza nchi!
Utawala ulifitinika kwa mujibu wa biblia ni ule uliomwacha Mungu na kumkumbatia 'yule mwovu'
Na hugundulinda kwa matendo na tabia zao; ukatili uliopitiliza, uonevu kwa raia wake, kubambikia kesi, nk
Hili hufanya taifa kuwa la majanga, magomvi, mauaji holela nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…