Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

Mbona viko wazi tu hivyo mdau, hata haihitaji nguvu kuviona. Mfano mdogo tu, hamkomi Kuwaita cuf na act kuwa ni ccm b, wametumwa na ccm, siyo wapinzani n.k huku nyie ndio mnaohamia huko ccm.
Kwani wewe uko tawi gani la chama mkuu?
 
2015 hadi 2020 tulilalamika sana kuhusu kuonewa. Walicheka sana. Wakatubeza sana.

Mungu hajatuacha

Kama kifo ni adhabu basi hata kwenu wengi wameipata hii adhabu na wataipata tuu.... msiwatishe watu kufa mkidhani wataogopa hahahHa kufa ni lazima kwa kila aliyezaliwa na mwanamke kama kwenu kuna aliyezaliwa na mwanamke basi kufa lazima...na kila mtu atakufa kwa wakati wake!
 
Kwani wewe uko tawi gani la chama mkuu?
Sina tawi na kwa taarifa yako tu ni kuwa mtu akija kwangu na kuniambia mambo ya kujiunga na chama, sijui kununua kadi namfurusha na panga!
 
Kipindi cha awamu ya 5 shughuli halali za vyama vya upinzani zilipigwa marufuku eti mpk wkt wa uchaguzi ujao. Uendeshaji wa chaguzi zote ulighubikwa na matendo ya ukiukwaji sheria, ghilba na uonevu wa wazi dhidi ya wapinzani.

Wapinzani waliwekwa ndani vipindi virefu kwa kesi za kubumba na bila option ya dhamana. Ni ktk nchi chache duniani ambapo watawala wanaoendesha ukandamizaji wa aina hii hawategemei pawepo na reaction.

Ktk historia ya dunia mara nyingi, ni matendo ya watawala yanayosababisha uvunjifu wa amani na "ugaidi"
Awamu hii mmeruhusiwa hizo siasa za upinzani au mko jela kwa kesi za ugaidi?
CCM ni ile ile
 
Hawa wapumbavu wanajuaga kifo haiwahusu.
Daily wanazika wapendwa wao halafu wakiwa kwa keyboard wanajifariji wafu ni kutoka CCM pekee.
Sasa hivi jela Kuna Sabaya na Mbowe Ila wao wanaona anaeadhibika ni Sabaya, sijawahi elewa hizi akili zao

Kama kifo ni adhabu basi hata kwenu wengi wameipata hii adhabu na wataipata tuu.... msiwatishe watu kufa mkidhani wataogopa hahahHa kufa ni lazima kwa kila aliyezaliwa na mwanamke kama kwenu kuna aliyezaliwa na mwanamke basi kufa lazima...na kila mtu atakufa kwa wakati wake!
 
Mkuu usingemalizia kwa kutaja majina pengine bandiko lako lingekuwa na maana ila kwa Sasa nikama unaomba rehema kwa kuziba jicho moja, kesi ya sabaya na mbowe zote zinafanana na zote Ni za kisiasa na kwa kuwa tulishauri hum ndan kuwa Hawa wote wasamehewe maisha yaendelee watu wakasema hapana sabaya jambazi, haya sheria ikafuata mkondo wake, Sasa mnaona mambo yanakwenda mlama mnaanza kulialia ohoo sijui karma cjui makolokolo gan, mkuu subrin dawa iingie vzr, hyo ndo rule of law, ukipenda boga penda na majan yake[emoji1]
Sijui Kama wanakuelewa
 
Kama kifo ni adhabu basi hata kwenu wengi wameipata hii adhabu na wataipata tuu.... msiwatishe watu kufa mkidhani wataogopa hahahHa kufa ni lazima kwa kila aliyezaliwa na mwanamke kama kwenu kuna aliyezaliwa na mwanamke basi kufa lazima...na kila mtu atakufa kwa wakati wake!
Unajishuku tu. Hapo nani ametishwa? nani kakwambia kifo ni adhabu?
 
Hawa wapumbavu wanajuaga kifo haiwahusu.
Daily wanazika wapendwa wao halafu wakiwa kwa keyboard wanajifariji wafu ni kutoka CCM pekee.
Sasa hivi jela Kuna Sabaya na Mbowe Ila wao wanaona anaeadhibika ni Sabaya, sijawahi elewa hizi akili zao
Mkuu kinachokuudhi ni nini mbona una hasira sana?🤣🤣
 
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.

WAALIFU Kama Urio, na Kingai wanalindwa. Lingwenya, Adamoo na Mbowe wanaozea jela

Wafanyabiashara wengi wamenyang'anywa mali zao. Raia wasio na silaha wala namna ya kujitetea ndio wananyanyswa na wenye madaraka na silaha za kila aina

Zaidi tunashuhudia Mheshimiwa Mbowe na vijana wake wakiwa gerezani kwa marisa yasiyoeleweka. Duniani tunapita, ila hawa watesi, Watengeneza kesi, wanaotetea hizi kesi za uonevu watapukutika mmoja baada ya mmoja. Hata kama ni kwa kulinda madaraka waliyo nayo, hawa ndugu zetu hawaweza kuishi kuijua kitu kiitwacho amani. Kama siyo wao, familia zoo zitaishi kwa mateso makubwa

Tunafika sehemu Mbowe anawekwa jela kwamba ni Ghaidi. Tusimchezee mtu aitwaye Mungu. Hawa watu hawataweza kuishi kuiona amani kutokana na uonevu wao. Magufuli, Makonda, Sabaya, Ndungai ni mfano hai...... Watch the space !

Karma is a BITCH!!
Kosa lako tu ni kumuita Mungu (MTU)

Otherwise uko sahihi
 
Mkuu kinachokuudhi ni nini mbona una hasira sana?[emoji1787][emoji1787]
Naudhika mtu anapodhani kifo au mateso mbalimbali ya dunia hii ni kwaajili ya walio kinyume nae tu.
Kifo ni Cha kila mwanadamu, changamoto ni za kila mwanadamu haijalishi chochote, tuishi humo.
 
Naudhika mtu anapodhani kifo au mateso mbalimbali ya dunia hii ni kwaajili ya walio kinyume nae tu.
Kifo ni Cha kila mwanadamu, changamoto ni za kila mwanadamu haijalishi chochote, tuishi humo.
Acha ikae hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom