Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

Mbona viko wazi tu hivyo mdau, hata haihitaji nguvu kuviona. Mfano mdogo tu, hamkomi Kuwaita cuf na act kuwa ni ccm b, wametumwa na ccm, siyo wapinzani n.k huku nyie ndio mnaohamia huko ccm.
Kwani wewe uko tawi gani la chama mkuu?
 
2015 hadi 2020 tulilalamika sana kuhusu kuonewa. Walicheka sana. Wakatubeza sana.

Mungu hajatuacha

Kama kifo ni adhabu basi hata kwenu wengi wameipata hii adhabu na wataipata tuu.... msiwatishe watu kufa mkidhani wataogopa hahahHa kufa ni lazima kwa kila aliyezaliwa na mwanamke kama kwenu kuna aliyezaliwa na mwanamke basi kufa lazima...na kila mtu atakufa kwa wakati wake!
 
Kwani wewe uko tawi gani la chama mkuu?
Sina tawi na kwa taarifa yako tu ni kuwa mtu akija kwangu na kuniambia mambo ya kujiunga na chama, sijui kununua kadi namfurusha na panga!
 
Awamu hii mmeruhusiwa hizo siasa za upinzani au mko jela kwa kesi za ugaidi?
CCM ni ile ile
 
Hawa wapumbavu wanajuaga kifo haiwahusu.
Daily wanazika wapendwa wao halafu wakiwa kwa keyboard wanajifariji wafu ni kutoka CCM pekee.
Sasa hivi jela Kuna Sabaya na Mbowe Ila wao wanaona anaeadhibika ni Sabaya, sijawahi elewa hizi akili zao

Sijui Kama wanakuelewa
 
Unajishuku tu. Hapo nani ametishwa? nani kakwambia kifo ni adhabu?
 
Hawa wapumbavu wanajuaga kifo haiwahusu.
Daily wanazika wapendwa wao halafu wakiwa kwa keyboard wanajifariji wafu ni kutoka CCM pekee.
Sasa hivi jela Kuna Sabaya na Mbowe Ila wao wanaona anaeadhibika ni Sabaya, sijawahi elewa hizi akili zao
Mkuu kinachokuudhi ni nini mbona una hasira sana?🤣🤣
 
Kosa lako tu ni kumuita Mungu (MTU)

Otherwise uko sahihi
 
Mkuu kinachokuudhi ni nini mbona una hasira sana?[emoji1787][emoji1787]
Naudhika mtu anapodhani kifo au mateso mbalimbali ya dunia hii ni kwaajili ya walio kinyume nae tu.
Kifo ni Cha kila mwanadamu, changamoto ni za kila mwanadamu haijalishi chochote, tuishi humo.
 
Naudhika mtu anapodhani kifo au mateso mbalimbali ya dunia hii ni kwaajili ya walio kinyume nae tu.
Kifo ni Cha kila mwanadamu, changamoto ni za kila mwanadamu haijalishi chochote, tuishi humo.
Acha ikae hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…