The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Wakati huo hakukuwa na RaisHayati. Mwalimu Nyerere vipi?
Actually alikaa Kwa miezi kidogo Sana
Anajiuzulu ..
Point ni kuwa toka tuwe na Rais hakuna waziri mkuu aliewahi kuwa Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo hakukuwa na RaisHayati. Mwalimu Nyerere vipi?
Yaani wapinzani hamna akili kabisa! Hamna vitu vya msingi vya kujadili huko kwenye vyama vyenu? Mnakuja kumharibia Lukuvi hivi hivi tunawaangalia?Ikiwezekana Lukuvi apate nafasi awanyooshe mafisadi Mkuu apate muda wa kupumua.
Lukuvi Hoyeeee!
Mstaafu hoyeeee.
Asanteni sana , wote tumweke Mungu Mbele.
Kazi yao ni kuwachuuza wenzao. Wao mwisho wao ni pale key board inapoishia.Wewe dada mapema hii umesha nyoosha na mikono, nilikuwa nakuona Kamanda kwelikweli kumbe ni Kamanda nyuma ya keyboard tu.
Kamanda wa kweli atabaki kuwa Mbowe tu ambae angalau amejaribu kuonyesha ukamanda wake, nyie Hawa makamanda JF ni wanafiki na wapiga kelele wa online tupu Wala hamna faida ndani na nje ya Chama.
Hapana huyo ni dada yuko tukuyu hukoNaskia mwana ni mnyika.
Wanafiki ni nani kama siyo nyie? Kila wakati mnawaita mabeberu na sisi kutukejeli vibaraka wao, halafu mnainamisha nyuso zenu chini na kwenda kuomba misaada. Kwanini sisi tusiwe wakweli na kuwaeleza kila kitu dhidi yenu??Lini nyie mkawa na huruma na hii nchi? Mnaonea huruma billion 33 at the same time mnaomba incentive from abroad zikate, sku zote unafiki ni kama dhambi ya uchawi
Unajiita mjanja halafu unasema umebakwa na kulawitiwa[emoji23][emoji23].Kwani wewe upo mbele ya keyboard? Nyinyi CCM mnaokaa nyuma ya keyboard hamna faida na CCM zaidi ya wengi kushinda mkivuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba, CCM hutumia pesa za walipa kodi pesa za viwanda kulazimisha kupendwa na sasa imetumia hizo hizo pesa kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi kwa njia haramu za kishetani, hakuna CCM mjanja wote Ubongo wao upo stoo kwa polepole wanatumia Ubongo wake kuishi
Lukuvi na Majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi, Kwa vile ni swahiba wa muda mrefu wa mkuu, huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika...
Uliandamana kuunga juhudi za Viongozi wako?Kivipi? mbona kama umekurupuka tu, hivi unaelewa maana ya uzi huu?
Mr Tyang 😁😁😁😁Uliandamana kuunga juhudi za Viongozi wako?
Je baada ya kupigwa kipingo Cha Mbwa Koko kwenye uchaguzi huu umechukua hatua zipi?
Vipi wale wabunge wako uliokuwa unatumia nguvu kubwa kuwatangaza watashida hapa Jf wataapishwa lini? (Likiwemo Jimbo la Mbarali)
Narudia Tena nyie makamanda wa jf Ni wanafiki tu hamna faida ndani na nje ya Chama.
Ubeberu hauko kwenye mikopo; maana hata Marekani yenyewe inadaiwa sana tu. Tatizo lao ni "ubeberuism" --- tabia ya kutumia uhisani wao kama fimbo ya kituamulia mambo yetu, nani awe kiongozi wetu, sera gani tufuate, na maamuzi yepi tufanye. Hiyo haikubaliki field hadi kwenye keyboard.Unajiita mjanja halafu unasema umebakwa na kulawitiwa[emoji23][emoji23].
Mkuu Kama unadhani ulibakwa na kulawitiwa kwenye haki yako ya uchaguzi Basi fuata hatua za kisheria kupata haki yako Ila Kama bado utaendeleza huo ushamba wako Basi ingia barabarani ubakwe Tena na Askari baada ya NEC kufanya Yao.
nyie watu si hamtambui matokeo?umeuliza ili iweje?Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.
John Pombe Joseph Magufuli ni kama maji wasipoyanywa watayaoganyie watu si hamtambui matokeo?umeuliza ili iweje?
Kumbe mnafuatilia japo mnajifanya kususa!
Nilitaka uqualify kauli yako ya jumla...si unaona umetoa maelezo kwa vijana..Hakuwahi kuwa Waziri mkuu wa Jamhuri..
Tulipokuwa Jamhuri Tu akawa Rais..
Alipokuwa waziri mkuu tulikuwa bado na Gavana wa Uingereza..
Unajua hili why even bringing it up??
Itakuwa Mr "Am-ntaka-damu" anamwandalia hotuba yake ile baada ya kumwapisha muda si mrefu.Tanzania inasonga mbele na hii ndio maana halisi ya maendeleo hayana vyama🤝
Tundu na amstadamu wameenda wapi Yaani ghafla tuu hakuna matamko kwa video wala tweets😁😁
Aliewaroga kafa hawa wasiojielewaJohn Pombe Joseph Magufuli ni kama maji wasipoyanywa watayaoga
😂😂😂😂kwenda kuwa rais wa kuongoza nini na kutetea maslahi ya nani na wapi?Itakuwa Mr "Am-ntaka-damu" anamwandalia hotuba yake ile baada ya kumwapisha muda si mrefu.
Aliewaroga kafa hawa wasiojielewa
Sasa hivi hasira zimemuisha, anajadili nani atakua PM! ndio maana kwa wapinzani hawa ccm itatawala sana