Tetesi: Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana. Je, Lukuvi kumpiku Majaliwa?

Ikiwezekana Lukuvi apate nafasi awanyooshe mafisadi Mkuu apate muda wa kupumua.
Lukuvi Hoyeeee!
Mstaafu hoyeeee.
Asanteni sana , wote tumweke Mungu Mbele.
Yaani wapinzani hamna akili kabisa! Hamna vitu vya msingi vya kujadili huko kwenye vyama vyenu? Mnakuja kumharibia Lukuvi hivi hivi tunawaangalia?
 
Kazi yao ni kuwachuuza wenzao. Wao mwisho wao ni pale key board inapoishia.
 
Lini nyie mkawa na huruma na hii nchi? Mnaonea huruma billion 33 at the same time mnaomba incentive from abroad zikate, sku zote unafiki ni kama dhambi ya uchawi
Wanafiki ni nani kama siyo nyie? Kila wakati mnawaita mabeberu na sisi kutukejeli vibaraka wao, halafu mnainamisha nyuso zenu chini na kwenda kuomba misaada. Kwanini sisi tusiwe wakweli na kuwaeleza kila kitu dhidi yenu??
 
Unajiita mjanja halafu unasema umebakwa na kulawitiwa[emoji23][emoji23].

Mkuu Kama unadhani ulibakwa na kulawitiwa kwenye haki yako ya uchaguzi Basi fuata hatua za kisheria kupata haki yako Ila Kama bado utaendeleza huo ushamba wako Basi ingia barabarani ubakwe Tena na Askari baada ya NEC kufanya Yao.
 

Tanzania inasonga mbele na hii ndio maana halisi ya maendeleo hayana vyama🤝
Tundu na amstadamu wameenda wapi Yaani ghafla tuu hakuna matamko kwa video wala tweets😁😁
 
Kivipi? mbona kama umekurupuka tu, hivi unaelewa maana ya uzi huu?
Uliandamana kuunga juhudi za Viongozi wako?
Je baada ya kupigwa kipingo Cha Mbwa Koko kwenye uchaguzi huu umechukua hatua zipi?

Vipi wale wabunge wako uliokuwa unatumia nguvu kubwa kuwatangaza watashida hapa Jf wataapishwa lini? (Likiwemo Jimbo la Mbarali)

Narudia Tena nyie makamanda wa jf Ni wanafiki tu hamna faida ndani na nje ya Chama.
 
Mr Tyang 😁😁😁😁
 
Naona kuna dalili kubwa za kupigwa baina ya Chadema na Chadema kulikoni?
 
Ubeberu hauko kwenye mikopo; maana hata Marekani yenyewe inadaiwa sana tu. Tatizo lao ni "ubeberuism" --- tabia ya kutumia uhisani wao kama fimbo ya kituamulia mambo yetu, nani awe kiongozi wetu, sera gani tufuate, na maamuzi yepi tufanye. Hiyo haikubaliki field hadi kwenye keyboard.
 
Hakuwahi kuwa Waziri mkuu wa Jamhuri..
Tulipokuwa Jamhuri Tu akawa Rais..
Alipokuwa waziri mkuu tulikuwa bado na Gavana wa Uingereza..

Unajua hili why even bringing it up??
Nilitaka uqualify kauli yako ya jumla...si unaona umetoa maelezo kwa vijana..
 
Tanzania inasonga mbele na hii ndio maana halisi ya maendeleo hayana vyama🤝
Tundu na amstadamu wameenda wapi Yaani ghafla tuu hakuna matamko kwa video wala tweets😁😁
Itakuwa Mr "Am-ntaka-damu" anamwandalia hotuba yake ile baada ya kumwapisha muda si mrefu.
 
John Pombe Joseph Magufuli ni kama maji wasipoyanywa watayaoga
Aliewaroga kafa hawa wasiojielewa
Sasa hivi hasira zimemuisha, anajadili nani atakua PM! ndio maana kwa wapinzani hawa ccm itatawala sana
 
Itakuwa Mr "Am-ntaka-damu" anamwandalia hotuba yake ile baada ya kumwapisha muda si mrefu.
😂😂😂😂kwenda kuwa rais wa kuongoza nini na kutetea maslahi ya nani na wapi?
 
Aliewaroga kafa hawa wasiojielewa
Sasa hivi hasira zimemuisha, anajadili nani atakua PM! ndio maana kwa wapinzani hawa ccm itatawala sana

Iliyobaki wakubali tuunganishe nguvu kuijenga nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…