citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Haiwezekani. Majaliwa amejaliwa Kubiaki kama Waziri MkuuNimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.
Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
Nyerere alikuwa waziri mkuu na badae raisi.Hakuna waziri mkuu aliewahi kuwa Rais Tanzania
Ukiteuliwa uwaziri mkuu maana yake hutakuja kuwa Rais na hutoshi kuwa Rais
Dodoma??????Safari hii uwaziri mkuu unapelekwa either Dodoma au Mwanza na Geita.
Rais: Insta, FB, 'Twira,' YT, JF & Ufipa FC😂😂😂😂kwenda kuwa rais wa kuongoza nini na kutetea maslahi ya nani na wapi?
Majaliwa ni sawa na UPEPO tu but Lukuvi ni mtendaji mzuri tuLukuvi na Majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi, Kwa vile ni swahiba wa muda mrefu wa mkuu, huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika.
Hivyo ili ikamilike inahtaji atayepokea kijiti awe more experienced kwenye serikali kitu ambacho majaliwa anakosa lakni Lukuvi anacho. Lakn mkuu ulidai Lissu asipoapishwa bas ndo mwisho wa tz, vip mbna thread zako zinaonyesha tz inasonga mbele?
Wote ni watendaji makini bila hata cheche yoyote ya mashaka. Majaliwa ni mzuri sana kwenye "clearing & fowarding" (ni msafirishaji, msafishaji, mnadishaji na mfikishaji mzuri sana wa ajenda kuu za kitaifa kwa umma); halafu ni 'konekta' na mleta-watu pamoja. Majaliwa ni FOREMAN.Majaliwa ni sawa na UPEPO tu but Lukuvi ni mtendaji mzuri tu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Atampa Mavunde...ingawa Kabudi anafukuzia kwa Karibu
Hii ni aibu, Mavunde hawezi kituAtampa Mavunde...ingawa Kabudi anafukuzia kwa Karibu
Kwa taarifa yako ni kwamba kwenye uchaguzi huu hakuna kura yoyote iliyopigwa na wananchi iliyohesabiwa , matokeo ya kila jimbo yalipangwa wiki 2 kabla ya uchaguzi , Kwa mfano , Jimbo la Hai matokeo yalitangazwa usiku wa manane huku hata masanduku mengine ya kura yakiwa hayajafika kwenye majumuisho , Masanduku yalikamilika kufikishwa kwenye kituo cha majumuisho saa 2 asubuhi , huku tayari matokeo yakiwa yametangazwa .Uliandamana kuunga juhudi za Viongozi wako?
Je baada ya kupigwa kipingo Cha Mbwa Koko kwenye uchaguzi huu umechukua hatua zipi?
Vipi wale wabunge wako uliokuwa unatumia nguvu kubwa kuwatangaza watashida hapa Jf wataapishwa lini? (Likiwemo Jimbo la Mbarali)
Narudia Tena nyie makamanda wa jf Ni wanafiki tu hamna faida ndani na nje ya Chama.
Ni kweli, yeye ndie anajua kazi alizoahidi akutufanyia wananchi, na yeye ndio anajua nani ampe jukumu gani ili waende kwa kasi sawa.Huwa hatabiriki
Kabudi hawezi kupewa ni mlamba viatuSafari hii uwaziri mkuu unapelekwa either Dodoma au Mwanza na Geita, ingawa Kabudi naye anaweza akapewa
Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.
Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
Majaliwa Kassim Majaliwa anatosha!Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.
Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.