4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu kwa Sasa Mambo yao tuwaachie,Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia , naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe.
Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
Nashauri kwa Sasa chadema kuanzisha chadema family nchi nzima ili wanachama popote walipo waweze kuwa umoja imara wa kusaidiana katika shida na Raha, huu mpango nafikili ulikuepo so nafikili ni mda wa kuimarisha zaidi na utekelezaji wake uanze Mara moja wakati mengine ndani ya chama yakiendelea.