Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana, kutoka kupigiwa magoti hadi kusindikizwa nje ya Ikulu

Na wengine walipinga corona na hiyo hiyo corona ikawamaliza.
 
Afrika hii upumbavu hauwezi kuisha,kumbe Tulikuwa tunawaonea bure akina fulani
 
Hilo ndo jibu.lkn kwa mbinyo huu,tusubiri ni swala muda tuu.time will tell
 
Siku yaja punde bila kutazamiwa. Heri wangebaki na mpinzani aliyeonekana km adui, wao kwa wao wanaendelea kulana pole pole....
 
Kama huo ujasiri wao hatuna, narudia tena, hapa kwetu bila Katiba Mpya hatuwezi kuwaondoa CCM, wanetapakaa kila mahali, mpaka kwenye vyombo vya usalama.
Mkuu scha ujinga wa kuamini kwamba tatizo ni katiba.

Kuamini hivyo ni ujinga mkubwa sana.

Tatizo ni watu wala sio katiba..
 
Na siyo msururu wa wenye mitutu, Bali na mtu mmoja tuuuuu. KINACHODUMU MILELE NI MILIMA TU. By Samba Mapangala.
 
Hivi yule dizaina wake wa suit mbongo wa kkoo ataendelea kumdisgner au ndio ajira basi tena....nayule mshauri wake wa ICT sijui uchumi yule Mdada wa Tanzania tuseme nae ndio ajira basi?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Waafrica tuna laana mkuu, ukipata madaraka unasahau shida zote unajiona ni zaidi ya MUNGU
 
Ndo mambo aliyojiogopea Mwendazake
 
Ukitaka kujua katiba ya Tz ni nzuri ngoja siku upinzani ushike nchi hautataka kuibadili hata kidogo
 

Utafika muda ambapo yote hayo hayatawasaidia...

Ukifika wakati wa mwisho wa jambo fulani, hakuna anayeweza kuzuia mwisho wake...

Hakuna struggle iliyokuwa ngumu kama ya kuondoa utawala wa ubaguzi wa rangi wa wazungu wachache South Africa. Lakini ulipofika wakati waliondoka bila ya KATIBA MPYA...!!

Hakuna struggle iliyokuwa ngumu yenye watawala wenye jeuri na kiburi kama wakoloni walioitawala Tanganyika. Lakini ulipofika wakati waliondolewa tena kirahisi bila KATIBA MPYA...!!

Hata hawa CCM nakuambia wataondoka na kuanguka kirahisi sana na utakuja kushangaa na baada ya anguko lao ndipo KATIBA YA WANANCHI itaandikwa...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…