Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Hivi kinachotakiwa ni Katiba mpya au katiba yenye maudhui mazuri? Kenya walidhani katiba mpya ndio suluhisho, baada ya mwaka tu ikaanza kulalamikiwa na kurekebishwa. Sasa wanapambambana na BBI. Hata iwe kubwa kama biblia, Katiba mpya sio suluhisho la kudumu.Kama huo ujasiri wao hatuna, narudia tena, hapa kwetu bila Katiba Mpya hatuwezi kuwaondoa CCM, wanetapakaa kila mahali, mpaka kwenye vyombo vya usalama.