Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu shetani amepata aibu kubwa sn[B]Lucas Mwashambwa[/B] na ephen_ kada wenu mtiifu huyooo anaelekea CDM muda si muda. Emu fanyeni kitu basi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu shetani amepata aibu kubwa sn[B]Lucas Mwashambwa[/B] na ephen_ kada wenu mtiifu huyooo anaelekea CDM muda si muda. Emu fanyeni kitu basi!
Siyo mnafiki na mla rushwa kama CCM wengineUyu mama wa Taifa yuko vizuri pamoja na uzee , kuna mkutano mmoja alifanya mwenda zake pale mwanza ,mama yetu alitaja ,kwamba ameletwa kuongozea vichwa
Hawezi kusifia ushetaniNa ule wa gizani wa Idodomya anazungumziaje?
HawachelewiWasije wakaanza kumtisha
Wakuu
Madaraka Nyerere, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ameandika kuhusu mazungumzo aliyofanya na Mama Maria Nyerere (ambaye ni Mama yake) kuhusu mwenendo wa Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliomalizika hivi karibuni na Tundu Lissu kuibuka mshindi wa Uenyekiti akimbwaga Freeman Mbowe. Kupitia ujumbe aliouandika kwenye mitandao ya kijamii, akisema:
Mama Maria: Nashukuru uchaguzi wa CHADEMA umeenda vizuri.
Mimi: Nikiulizwa niseme hayo?
Mama Maria: Hayo ni mawazo yangu binafsi. Subiri uulizwe, siyo unaanza wewe, kama vile mimi mganga wako wa kienyeji."
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Madaraka aliendelea kusema kwamba ingawa hakuwa ameulizwa rasmi, aliona ni muhimu kushiriki maoni hayo kwa sababu ni ya manufaa na muhimu kwa wakati huu.
Soma, Pia
- Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
- Ushindi wa Lissu unamaanisha nini kwa Watanzania? Tunapata picha gani Uchaguzi Mkuu 2025? Samia atapumua? Ukabila kuisha?
Sisi wengine tulitulia tu tangu mwanzo, hatukuona haja ya kupayuka payukaNaona sasa kuna utulivu baada ya joto kali la mpambano wa FAM na TAL 😀 😀
Yeye Madaraka alitaka akaseme bila kuulizwa?Wakuu
Madaraka Nyerere, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ameandika kuhusu mazungumzo aliyofanya na Mama Maria Nyerere (ambaye ni Mama yake) kuhusu mwenendo wa Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliomalizika hivi karibuni na Tundu Lissu kuibuka mshindi wa Uenyekiti akimbwaga Freeman Mbowe. Kupitia ujumbe aliouandika kwenye mitandao ya kijamii, akisema:
Mama Maria: Nashukuru uchaguzi wa CHADEMA umeenda vizuri.
Mimi: Nikiulizwa niseme hayo?
Mama Maria: Hayo ni mawazo yangu binafsi. Subiri uulizwe, siyo unaanza wewe, kama vile mimi mganga wako wa kienyeji."
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Madaraka aliendelea kusema kwamba ingawa hakuwa ameulizwa rasmi, aliona ni muhimu kushiriki maoni hayo kwa sababu ni ya manufaa na muhimu kwa wakati huu.
Soma, Pia
- Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
- Ushindi wa Lissu unamaanisha nini kwa Watanzania? Tunapata picha gani Uchaguzi Mkuu 2025? Samia atapumua? Ukabila kuisha?
Ule wa wenzake haukuenda vizuriSo bwana madaraka anataka kutupa Ujumbe gani?
Watamnyima Pensheni😆😆😆Wasije wakaanza kumtisha
Nakazia.Mama Mungu akubariki
Haa unanikumbusha kutupa jiwe gizaniNa ule wa gizani wa Idodomya anazungumziaje?
Kule Geita aliwashushua CCM kwenye kumbukizi ya Mwalimu ambayo ingestahili kufanyika Mwitongo, alisema "mimi niliona mmenibeba na kunileta hapa mnataka niseme, sijui niseme nini huku!".Mama Maria Nyerere yuko vizuri upstairs
Na wanapoamua kuteka hawajali umri wa mtuWasije kumteka mana yetu hawa ccm. Kasema ukweli wa moyoni
Tangu siku ile hawataki tena kumuona mjini.Uyu mama wa Taifa yuko vizuri pamoja na uzee , kuna mkutano mmoja alifanya mwenda zake pale mwanza ,mama yetu alitaja ,kwamba ameletwa kuongozea vichwa
Unajichekesha nini sasa mzee Mgaya?Mama wa Taifa 😂
CCM ni chama Cha furaha tofauti na Chadema Uchaguzi tu mmenuniana hadi Muliro akaleta Difenda za kutoshaUnajichekesha nini sasa mzee Mgaya?
Unaweza kunywa au kuoga majitaka ?CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu