Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungejua watoto na familia za Nyerere ni masikini wa kutupwa. Watoto na familia za Marais waliofuata ndio wanakula maisha. Serikali zote zimewasahaimu.Uroho unamsumbua Mali zote alizoiba baba yake azimtoshi mpaka atamani ubunge.
Uroho unamsumbua Mali zote alizoiba baba yake azimtoshi mpaka atamani ubunge.
Hapo madaraka ametia nia
Ndio ametangaza pia Makongoro habari za chini naye pia anataka jimbo.
Mkono anatoshaKatika uchaguzi huu wa Mkuu 2020 kwa jimbo la Butiama naona ni muda sasa mwafaka wa kumpata kiongozi sahihi ambaye atabadilisha muonekano wa jimbo la Butiama.
vipi hakuna mtoto wa babu anayefaa hapo?
Madaraka katangaza juzi kupitia kituo kimoja cha habari pia katika ukurasa zake mbali mbali katika mitandao ya kijamii.
Mkono anatosha
Ndani ya miaka mitano hajaonekana mbungeni pia jimboni kwake.
Acha Tuone Mwaka
Yetu macho ila inahitajika kiongozi ambaye anazifahamu siasa za Butiama .pia kungekuwa na uwezakano wangegwa jimbo ni kubwa sana.
Lakini amekua mbunge zaidi ya miaka hiyo mitano mbona hiyo mingine huizungumzii
Lakini pia kipimo cha mbunge ni maendeleo jimboni siyo kuonekana bungeni
Kama umeshawhi kutembea jimbo lote la Butiama huwezi kusema ni jimbo lenye maendeleo.unaweza huenda ulifika katika zile CENTER mbili kubwa au tatu moja ni Butiama,Kibakari na BUHEMBA ndio unaweza kusema kuna muonekano wa kitu fulani.je wale ndugu zetu wa SiroriSimba,Waigero na vijiji vya jirani ambao watoto wanatembea zaidi ya kilomita 10 kwenda shule?.maji safi na salamu kwa maneno hayo ni ndoto kabisaa.vituo vya afya ni shida kwa maeneo mengi.