Uchaguzi 2020 Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ametangaza kuwania nafasi ya ubunge wa Butiama

Unadhani hiyo ni sababu inayojitosheleza kusema Mkono hafai? Hayo umetaja mapungufu na ungeahinisha maendeleo ya Butiama kabla ya Mkono ukalinganisha na hayo mapungufu
Lkn unaweza kutaja jimbo moja lolote unalolifahamu unaloamini lina maendeleo nikutajie mapungufu kama hayo uliyotaja?
 
Mbona kaka yake chapii naye katangaza nia kugombea hapo hapo Butiama?
 
Mzee Mkono anaumwa. Siyo hafai.

Hali yake haimruhusu kuwa mbunge.

Ninavyoelewa ni kwamba ana miaka kadhaa hajakanyaga bungeni.
 
Kila siku wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…