MADARAKA YA KULEVYA: Umwagaji Damu, Utekaji, na Siku za Mwisho za Udikteta

Nchi ilipofika ni pabaya sana.
 
Tunavuka na Lissu leo
 
Mwenzio sina maoni na hata nikiwa nayo hakuna atakaye yasikiliza au kuyafanyia kazi.

mimi naandaa kesho ya wanangu hata nisipokuwepo minyororo yangu iwasaidie
mimi naandaa kesho ya wanangu hata nisipokuwepo minyororo yangu iwasaidieπŸ₯ΊπŸ€”πŸ˜ͺπŸ™‡πŸΏβ€β™‚
 
Mkuu mshana salute kwako, ni kweli kabisa imefika mahala watu wamechanganyikiwa lakini hawawezi kutoka front wakasema chochote, ooga ,uchawa, umbea ,kuviziana, ulafi, etc.etc etc, nchi imekuwa ya hovyo hakuna tena uhuru wa fikra , ukiwa na mawazo tofauti wanakuua, yani kwakweli ni Mungu tu aingilie kati, mimi nilipoamua kuwa mbeba boksi walinishambulia sana nikasema potelea mbli bora niwe kikaragosi huku kwa wenye akili kuliko kujitoa ufahamu na kushangilia eti mambo yanakwenda wakati hayaendi. Uroho na ulafi ndio umetufikisha hapa. Ila kama ulivyosema mwisho wake unakaribia, hata manyumbu yakinyanyasika sana hufika mahala yanajiunga na kusema liwalo na liwe na hatimaye hata simba wanakimbia na kuwaaacha huru.
 
Uroho na ulafi ndio umetufikisha hapaπŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ™‡πŸΏβ€β™‚
 
Get up , stand up, don't give up the fight..πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…