Madarasa ya Uongozi yaliruka baadhi ya Mada?

Bora wana ccm walizifaidi. Sisi wapinzani tutalipa kitu ambacho hatukupata hata pesa ya soda.
 
Walikopeshana wenyewe kwa wenyewe kwa masharti nafuu. Mfano Uingereza walikopeshwa na wamarekani kwa masharti nafuu wakati wa vita ya pili ya dunia nk.
Hata sisi Jiwe na Sasa Mwigulu wanatwambia ni mikopo ya masharti nafuu
 
Yupo huku anakibidhi shule walio jenga kwa fedha zao ( mu7 bwana anafurahisha)
Ni sawa mtu unamdai una hata pesa ya kula then unamkuta Bar anatanua meza imejaa Vodka na Nyama ya kuchoma kazungusha. Huku anakwambia hana pesa.
 
Bora wana ccm walizifaidi. Sisi wapinzani tutalipa kitu ambacho hatukupata hata pesa ya soda.
Hata nyie wapinzani mmezifaidi hela za mikopo. Kwani yale mabomu ya machozi, maji ya kuwasha na virungu mlivyokua mnapigwa unadhani vilinunuliwa kwa pesa gani?😀😀😀
 
Thadei Ole Mushi mada zako za TANURU uziweke pia na huku kama hii.

Pole Pole ni Mchumia Tumbo, Mafikizolo,Gweregwere na Inzile niliilewa sana ile mada.
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2331]
 

[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Si umesema hujasoma?
Sasa kama Uganda wanachukuliwa kwa hiyo Dola 200, wewe ni nani mpaka ushangae na kubisha?
Sikusoma hiyo takataka, hiyo haina maana sina taarifa juu ya hiyo habari ya Uganda na uwanja wao wa ndege.

Kama wewe unategemea haya matakataka kama chanzo chako cha habari, usidhani sote tupo kama wewe.
 
Bagamoyo haijengwi kwa pesa ya mchina, inajengwa kwa pesa ya Sultan wa Oman. Halafu kumbuka Bagamoyo ni sehemu ya ule ukanda wa bahari wa maili kumi ambayo hadi sasa ni mali ya sultan. Mwacheni sultani ajenge nchi yake.
Tena mali ya Sultan,, yuko wapi?
 
Hiyo yote uliyoandika ni propaganda ya nchi za ulaya dhidi ya china kwakuwa sasa uchina imezikamata nchi maskini zote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Siasa bila demokrasia ni kuongozwa na magenge ya wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…