Madau: Timu ya Simba ni kama mwanaume anayetumia Viagra

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ukiitazama timu ya Simba Kwa macho ya kiuchambuzi ni timu iliyokamilika sana Kila sekta, Wana beki wazuri, viungo plus washambuliaji ila wakija uwanjani wanakosa consistence Leo wachezaji hao hao watashinda 7-0 kesho watapigwa kesho kutwa wata draw.

Maoni ya mchambuzi,
Je! ni kweli Simba nisawa na mwanaume anaetumia viagra anapiga show BAO 5 show inayofuata hata karoti haisimami?
 
Simba kunaeneo katika first eleven yao Lina udhaifu na ndilo eneo litakalo endelea kuwaumiza, Katika eneo ilo wachezaji walionao hawana uwezo wa kuwalinganisha na wapinzani wao Yanga na Azam.
Vile vile Simba wachezaji wanao Baki baada ya first eleven wengi ni wepesi hawana ujazo.
 
technically Simba ya kikosi Cha kwanza haiwezi kufungwa na Azam au yanga unless mchezaji mmoja au wawili wanaotengeneza mfumo hawapo , wachezaji wanaotengeneza mfumo ni manura , onyango , inonga, zimbwe, shomy, kanoute, mzamiru, chama, phiry. Hawa wakiwepo Simba sio dhaifu .

Sio lazima uwe na bench zuri uchukue Mataji , Madrid, Barcelona , Liverpool wamewahi kuchukua UEFA na ligi ya ndani wakiwa na best first eleven .
 
Wanatumia ngada,wakiwa alosto mambo yanakataa
 
Sare tu!kila shabiki maandazi anatoka na kanyuzi kake ka kipuuzi,sio kila wakati timu itafanya vyema
Mkuu.....shida ni kuwa kikosi bado hakitabiliki bado Kuna mechi za mikoani....
 
Wachezaji gan hao mkuu
 
Hao wote wapo mkuu......tatzo ni bechi au??
 
Udhaifu mkubwa wa Simba upo sehemu mbili tu nazo ni:-
1. Kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kulinda mabeki wake wa kati mwenye uwezo kama Tadeo Lwanga au Fraga.
2. Mshambuliaji wa kati mweye uwezo wa kutumia nafasi kwa usahihi.

Kama kuna kosa viongozi wa Simba walilifanya kwenye usajili uliopita ni kushindwa kufanya usajili wa maana kwenye nafasi hizo mbili na hapo ndio ubingwa utawapiga chenga mwaka huu.
 
Mechi dhidi ya Kagera ni nani hakuwepo katika list yako ya watengenezaji mfumo?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…