WLF Tanzania
Member
- Oct 9, 2014
- 38
- 22
sometimes dawa za kienyeji kwa watu wanaoamini taboos zao wanahs zinasaidia but for what i know local medicines during pregnacy inaleta effect nying sana kwa mfano ,,can lead to maternal or child death due to overdosage,,,congestive cardiac failure eg some drugs certain digitali which may lead to cardiac failure,,,,liver failure due to intoxication coz dawa za kienyeji hazina dose maalum,,,,severe vaginal bleeding from uterus in child birth,,,Rupture of uterus some drugs cause very strong contraction but there maybe obstructed labour,,, then inaweza sababisha severe indfections,,,Thanks..
Conservative Mind:
Dawa za kisasa na medication kwa ujumla wake zinafanyiwa tafiti. Na zinatolewa maelezo zitumike vipi na kwa kiwango gani kulingana na ukubwa wa tatizo. Sio kubahatisha kama dawa za asili.
It should also be noted kwamba dawa za kisasa (most) zinakuwa processed kutoka katika mimea (herbs) na kupelekwa maabara kwa ajili ya kuzalisha hizi dawa rasmi kwa ajili ya matumizi ya binadamu (human consumption) kwa uhakika na kuepusha ile dhana ya kubahatisha.
SIKATAI; zamani (na baadhi hadi sasa) walitibiana kwa hizi dawa za asili na kupona, lakini it was totally unsafe and insecure.... So kuja kubeza dawa za kisasa ni aidha huelewi umuhimu wa uwepo wake na mchango wake, au uko unachachafywa na maelezo kutoka kwa wapinzani wa biashara wanaongelea vibaya dawa hizi!
Shkamoo kaka mkubwa.Mabbibi na mababu zetu waliiahi muda mrefu Sana kwa matumizi sahihi ya dawa za kienyeji, dawa hizi zina virutubisho na kinga mbalimbali ambazo Mungu ameziandaa kwa mfumo wake tangu uumbaji isipokuwa tukitumia vibaya basi itasababisha madhara, lkn watu weupe wametusababishia madhara zaidi kwa dawa zao kwa makusudi na babati mbaya.
Corrupted mind.
Dawa za Kiafrika ndio bora kuliko za Kisasa, vizungumkuti vya mortality rate vilianza baada ya watu kuhamasika sana wakajifungulie spitali na kwa njia za kisasa. Yawezekena wapo matapeli wanaowapa watu sumu kwa jina la dawa, lakini ubora wa dawa zetu si wa kutia shaka hata kidogo.
Mkuu Mphamvu nafurahi jinsi unavyozikubali dawa zetu za asili, kiukweli hata hizi dawa za kisasa nyingi zinazototumika sasa active ingredients zao zinatokana na mimea/mazao ya mimea. Nataka kupata maoni yako kuhusu uhakika wa dose unaotolewa kwenye dawa za asili kama, je inawezekana kujua pasi na shaka kuwa kiwango cha dawa ni toshelezi au pungufu ya mahitaji ya mgonjwa? Vipi kunaweza kuwa na dawa zisizotibu tatizo husika? Vipi overdose haiwezi tokea na ikawa sumu?Corrupted mind.
Dawa za Kiafrika ndio bora kuliko za Kisasa, vizungumkuti vya mortality rate vilianza baada ya watu kuhamasika sana wakajifungulie spitali na kwa njia za kisasa. Yawezekena wapo matapeli wanaowapa watu sumu kwa jina la dawa, lakini ubora wa dawa zetu si wa kutia shaka hata kidogo.
....Kuhusu kujifungulia kwenye vituo na mortality rato/rate ningependa kupata mtizamo wako kuhusu ni sababu zipi zinasababisha vifo vya watoto na wakinamama wakati wa ujauzito na kujfungua, na unadhani zinaweza tatuliwa kwa urahisi zaidi mama akiwa nyumbani au hospitali/kituo cha huduma za afya?Corrupted mind.
Dawa za Kiafrika ndio bora kuliko za Kisasa, vizungumkuti vya mortality rate vilianza baada ya watu kuhamasika sana wakajifungulie spitali na kwa njia za kisasa. Yawezekena wapo matapeli wanaowapa watu sumu kwa jina la dawa, lakini ubora wa dawa zetu si wa kutia shaka hata kidogo.
Hii porojo ya kuwa zinafanyiwa utafiti na zinatokana na mimea imekuwa ikitumika muda mrefu kunadi mfumo wa kisasa wa tiba za viwandani, ambazo ni biashara zaidi kuliko tiba na mbaya ni kuwa zinatokana na kemikali kwa kiasi kikubwa na zina madhara mengi ya ziada kwa watumiaji.
Mimi si mtafiti, lakini takwimu chache zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya uzazi kimeongezeka huku Afrika kweusi baada ya kununua propaganda za biashara ya tiba kutoka kwa Wazungu, miaka inavyoenda pia, licha ya kukua kwa teknolojia ya madawa na vifaa tiba bado kiwango cha maisha kinapungua kwa kiasi kikubwa sana, kwanini?
Mataifa kama China na Japan, Serikali zao zimewekeza kwenye tiba za asili kwa teknolojia ya kisasa na nadhani ndizo nchi zenye watu wanaoishi muda mrefu.
Sisi tunacho kitengo cha tiba asili pale Muhimbili, lakini kinadumazwa kwa makusudi ili biashara ya madawa ya viwanda vya nchi za mabepari izidi kusitawi (na tuendelee kufa). Wewe ni shuhuda, kwa umri wako huu umeshuhudia tiba elekezi ya Malaria ikibadilika kila baada ya miaka kadhaa kwa sababu tofauti, unadhani ni kwanini?
Unadhani hawajui kuwa aloe vera, mbegu za jamii ya machungwa, mbegu za papai, shubiri, muarobaini na mimea lukuki inatibu Maleria kwa ufanisi wa asilimia mia na bila kuacha madhara mengine?
Ni vigumu na inataka akili ngumu kuwaamini watu wale wale waliodhamiria kukuua kwa madawa na sumu waje wakupe tiba sahihi. Teh!
#RevolutionWillNotBeTelevised
Umezungumza Point kaka Mphamvu Mimi sitotia neno hapo tena ninawangojea watu wengine wazungumze maneno yao Bravo kaka Mphamvu.Hii porojo ya kuwa zinafanyiwa utafiti na zinatokana na mimea imekuwa ikitumika muda mrefu kunadi mfumo wa kisasa wa tiba za viwandani, ambazo ni biashara zaidi kuliko tiba na mbaya ni kuwa zinatokana na kemikali kwa kiasi kikubwa na zina madhara mengi ya ziada kwa watumiaji.
Mimi si mtafiti, lakini takwimu chache zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya uzazi kimeongezeka huku Afrika kweusi baada ya kununua propaganda za biashara ya tiba kutoka kwa Wazungu, miaka inavyoenda pia, licha ya kukua kwa teknolojia ya madawa na vifaa tiba bado kiwango cha maisha kinapungua kwa kiasi kikubwa sana, kwanini?
Mataifa kama China na Japan, Serikali zao zimewekeza kwenye tiba za asili kwa teknolojia ya kisasa na nadhani ndizo nchi zenye watu wanaoishi muda mrefu.
Sisi tunacho kitengo cha tiba asili pale Muhimbili, lakini kinadumazwa kwa makusudi ili biashara ya madawa ya viwanda vya nchi za mabepari izidi kusitawi (na tuendelee kufa). Wewe ni shuhuda, kwa umri wako huu umeshuhudia tiba elekezi ya Malaria ikibadilika kila baada ya miaka kadhaa kwa sababu tofauti, unadhani ni kwanini?
Unadhani hawajui kuwa aloe vera, mbegu za jamii ya machungwa, mbegu za papai, shubiri, muarobaini na mimea lukuki inatibu Maleria kwa ufanisi wa asilimia mia na bila kuacha madhara mengine?
Ni vigumu na inataka akili ngumu kuwaamini watu wale wale waliodhamiria kukuua kwa madawa na sumu waje wakupe tiba sahihi. Teh!
#RevolutionWillNotBeTelevised
Hizi dawa za kienyeji mimi sinaga imani nazo kwa sababu kuna mmasai aliniuzia dawa ya kienyeji nikaitumia badala ya kumaliza tatizo ndo likaongezeka zaidi ..