Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

malenga wetu

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
283
Reaction score
198
Baada ya bondia na footballer sasa musichana ya movie (maana kila asiyekuwa na address mjini sasa anataka awe muigizaji ili atoke khaa ) na toto ya town imekwisha Brazil eeh wasichana nyie wadogo mna mambo makuu jamani hizi lace wig, peruvian, simu za bei ya juu, vitz mbona zitawapeleka pabayaa??

Ndugu kama hamjawasiliana na ndugu yenu huyu kaeni mkao wa kula kupokea bad news (sioni huruma maana kapenda mwenyewe kuwa punda) hivi kila siku hamuoni TV/News Paper na Blogs zikiandika kwamba hali ya hewa ni mbaya ?? mara meli, mara wengine wamekamatwa Ethiopia daah mnawapa wengine ugumu wanaosafiri na Passport za ki Tanzania full kuangaliwa mpaka sehemu zisitakiwa.

NB
wale wasichana wanaoshawishiwa kuwa mapunda na makontena na wengine wanathubutu kwenda kwa waganga kupewa dawa ili wasishikwe USIJARIBU hakuna cha mganga wala nini, tulizana na tafuta plan B ya maisha na nini cha kufanya please i beg nisiposisitiza hivi tutapoteza wengi.

SOURCE: sintah.com
 

Attachments

  • Aisha2.jpg
    Aisha2.jpg
    31.2 KB · Views: 5,536
Drug money it's gonna buy you what you want,
Drug money it's gonna buy you what you want.
Fish scale, I'll buy you what you want,
Thousand bill', I'll buy you what you want,
A hundred square, I'll buy you what you want,
Shoot it through the air, and buy you what you want
 
hii serikali watajeni basi kila siku watu wanaangamia wanaishia gerezani kama ni pesa za kampeni 2015 cdm wanachukua nchi kwa hiyo malizeni kwa amani jamani ila vitalu vyetu tuachieni wazawa maana mnavyoviuza mpaka mnatukana wazawa

serikali wameshasema hawatawataja mapapa, kwa mpango huu tutarajia wengi kukamatwa, manake njaa na tamaa ndio chanzo chakugeuzwa punda
 
utamu wote huu unaishia gerezani, du! huyu jamaa ndo karithi baada ya mpakanjia kutangulia mbele za haki.
 

Attachments

  • AISHABUI.jpg
    AISHABUI.jpg
    21.9 KB · Views: 1,718
Tatizo la watanzania ni kule kuigana na kutambiana pasipo sababu, na mara nyingi utakuta asiye na akili timamu na aliyeshindwa maisha anataka kuwa muigizaji au mcheza sinema ili aonekana kwenye TV hatimaye wauza unga wamchukue na kumchezea kisha aandikwe magazetini na kuwa juu ili wanawake wenzake wamuogope. I do not feel sorry for these kind of people. Hapa Bongo si wasanii wa bongo fleva ama bongo movie wanastahili kupoteza muda wangu. Kamata na chinja wote hawa. Lawama zote zimwendee Mh. rais Mtukufu Mungu Kikwete kwa kutufikisha hapa. Nasema hivyo kwani yeye kama rais na mwenye mamlaka ya juu hapa nchini angekemea huuu ujinga wala tusingefika hapa.
 
hii serikali watajeni basi kila siku watu wanaangamia wanaishia gerezani kama ni pesa za kampeni 2015 cdm wanachukua nchi kwa hiyo malizeni kwa amani jamani ila vitalu vyetu tuachieni wazawa maana mnavyoviuza mpaka mnatukana wazawa

Ishu ya madawa bana haji hata gamba mmoja japo kukejeli tu, nina wamiss magamba!
 
Hili taifa linaangamia, sijui wenye mamlaka ya kubadili hii taswira na mwelekeo wamelala? Hata Kama n usingIzi hawataamka tena. Pengine tunafikiri wamelala kumbe washakufa kitambo.



We vipi au tukuhamshe? Kwani wewe ulikuwa hujuwi hii nchi toka 2005 ipo katika utawala wa auto pilot? Nape (katibu mwenezi wa chama) ndiye aliyepewa utawala na hajuwi anafanya nini yeye kazi kuwamba na kupiga ngoma huko vijijini na wananchi wasiojuwa sheria wala haki zao.
 
Lete news. Acha mipasho. kama kakamatwa sema kakamatwa siyo mipasho kama vile unaimba taarabu
 
Back
Top Bottom