Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

Tamaa na mbio za mujini zitawamaliza hawa wanawake.

Duh! Ebu waeleze mkuu. Hii tabia ya kupenda kuwa punda hakika kutawamaliza.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Baada ya bondia na footballer sasa musichana ya movie (maana kila asiyekuwa na address mjini sasa anataka awe muigizaji ili atoke khaa ) na toto ya town imekwisha Brazil eeh wasichana nyie wadogo mna mambo makuu jamani hizi lace wig, peruvian, simu za bei ya juu, vitz mbona zitawapeleka pabayaa??

Ndugu kama hamjawasiliana na ndugu yenu huyu kaeni mkao wa kula kupokea bad news (sioni huruma maana kapenda mwenyewe kuwa punda) hivi kila siku hamuoni TV/News Paper na Blogs zikiandika kwamba hali ya hewa ni mbaya ?? mara meli, mara wengine wamekamatwa Ethiopia daah mnawapa wengine ugumu wanaosafiri na Passport za ki Tanzania full kuangaliwa mpaka sehemu zisitakiwa.
NB
wale wasichana wanaoshawishiwa kuwa mapunda na makontena na wengine wanathubutu kwenda kwa waganga kupewa dawa ili wasishikwe USIJARIBU hakuna cha mganga wala nini, tulizana na tafuta plan B ya maisha na nini cha kufanya please i beg nisiposisitiza hivi tutapoteza wengi.

SOURCE:
www.sintah.com: MUREMBO YA MUJINI ANASA NA SEMBE BRAZIL!

This is too much! Acha sheria ichukue mkondo wake!
 
Wakamatwe tu. Watupwe selo tu na ikibidi wanyongwe kabisa. Tumechoka sasa....
 
Baada ya bondia na footballer sasa musichana ya movie (maana kila asiyekuwa na address mjini sasa anataka awe muigizaji ili atoke khaa ) na toto ya town imekwisha Brazil eeh wasichana nyie wadogo mna mambo makuu jamani hizi lace wig, peruvian, simu za bei ya juu, vitz mbona zitawapeleka pabayaa??

Ndugu kama hamjawasiliana na ndugu yenu huyu kaeni mkao wa kula kupokea bad news (sioni huruma maana kapenda mwenyewe kuwa punda) hivi kila siku hamuoni TV/News Paper na Blogs zikiandika kwamba hali ya hewa ni mbaya ?? mara meli, mara wengine wamekamatwa Ethiopia daah mnawapa wengine ugumu wanaosafiri na Passport za ki Tanzania full kuangaliwa mpaka sehemu zisitakiwa.
NB
wale wasichana wanaoshawishiwa kuwa mapunda na makontena na wengine wanathubutu kwenda kwa waganga kupewa dawa ili wasishikwe USIJARIBU hakuna cha mganga wala nini, tulizana na tafuta plan B ya maisha na nini cha kufanya please i beg nisiposisitiza hivi tutapoteza wengi.

SOURCE:
www.sintah.com: MUREMBO YA MUJINI ANASA NA SEMBE BRAZIL!

Mkuu source ndio huyo sinta wewe kweli huna kazi ya kufanya huyo mdada unae sema Aisha Bui mbona yupo mtaani na bwana wake yule mvuta bangi amekwenda lini huko brazil?
 
Kweli ni mjinga tu ambae hajui kwamba tanzania hii Dili zote za hatari,zinapigwa na viongozi wa ccm,kwa ujumla waliopo madarakani.bangi,wanauza wao,madawa wao,wanyama mbugani wao,wasomali wanasafirisha wao,meno ya tembo wanasafirisha wao,bado kodi zetu wanaiiba,kifupi mtu yeyote anayeng'ang'ania ccm Ana issue zake anazopiga,kuwepo humo anajua hakuna mtu atakaye muuliza,lukivi si alishindwa kutaja wabunge wauza unga,alitaka wahusika wasiwe ccm,ndio awataje,
 
Money mongers, bado safari mbichi. Mungu atusaidie tu
 
Matumbo ya wanawake yanabeba mzigo mkubwa wa sembe.
 
MPAKANJIA alimtumia sana huyu bibie mpaka akaamua amuoe!Ana uzoefu wa kutosha kubeba mzigo
 
hawa huwa hawakomi. akili zao sijui ziko sehem gani ya mwili. Pamoja na wote hawa kukamatwa bado kuna wengine wanapaki mzigo waanze safari. wengine tayar wapo airport na mzigo.

hawa punda kwanza hufanywa wahovyo....wa haovyo haswa...wawe wa kiume au wa kike huwekwa tayari kuthudumia wanuame kwa huduma nyingine wakati wakisubiri mzigo wa kubeba ba fweza inakwenda kwa ma don...Akili hakunaga kwa kiumbe anayetoa upande wa pili...ni njia mbaya kabisa ya kutumikisha watu.Waliberali siku ozte wanaangalia vitu vidogo sana wakati wengine wakiwa ktk serious issue.

Hii ndio nchi ya JK akiangalia uwanja wote anakuwa very happy maisha bora kwa kila don na ya ya kufisha ya punda.
 
right comment from wrong person
1094764_493977180696516_2057258499_n.jpg
 
Tatizo la watanzania ni kule kuigana na kutambiana pasipo sababu, na mara nyingi utakuta asiye na akili timamu na aliyeshindwa maisha anataka kuwa muigizaji au mcheza sinema ili aonekana kwenye TV hatimaye wauza unga wamchukue na kumchezea kisha aandikwe magazetini na kuwa juu ili wanawake wenzake wamuogope. I do not feel sorry for these kind of people. Hapa Bongo si wasanii wa bongo fleva ama bongo movie wanastahili kupoteza muda wangu. Kamata na chinja wote hawa. Lawama zote zimwendee Mh. rais Mtukufu Mungu Kikwete kwa kutufikisha hapa. Nasema hivyo kwani yeye kama rais na mwenye mamlaka ya juu hapa nchini angekemea huuu ujinga wala tusingefika hapa.

kuwaalika hawa wabeba unga ikulu wakafuturu
 
Baada ya bondia na footballer sasa musichana ya movie (maana kila asiyekuwa na address mjini sasa anataka awe muigizaji ili atoke khaa ) na toto ya town imekwisha Brazil eeh wasichana nyie wadogo mna mambo makuu jamani hizi lace wig, peruvian, simu za bei ya juu, vitz mbona zitawapeleka pabayaa??

Ndugu kama hamjawasiliana na ndugu yenu huyu kaeni mkao wa kula kupokea bad news (sioni huruma maana kapenda mwenyewe kuwa punda) hivi kila siku hamuoni TV/News Paper na Blogs zikiandika kwamba hali ya hewa ni mbaya ?? mara meli, mara wengine wamekamatwa Ethiopia daah mnawapa wengine ugumu wanaosafiri na Passport za ki Tanzania full kuangaliwa mpaka sehemu zisitakiwa.
NB
wale wasichana wanaoshawishiwa kuwa mapunda na makontena na wengine wanathubutu kwenda kwa waganga kupewa dawa ili wasishikwe USIJARIBU hakuna cha mganga wala nini, tulizana na tafuta plan B ya maisha na nini cha kufanya please i beg nisiposisitiza hivi tutapoteza wengi.

SOURCE:
www.sintah.com: MUREMBO YA MUJINI ANASA NA SEMBE BRAZIL!

Ujasiri huu wa Watanzania ungekuwa kwenye kazi halali na hasa kupigania haki yao kwa wakoloni wetu weusi igekuwa jambo la maana sana
 
Dah huyu Dada nlikuwa natafuta namba yake siku nyingi nimwambie ya moyoni ndio basi tena<3
 
Back
Top Bottom