Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

so sad news but now it becomes normal things.
 
source ya hii habari ndo imenitia kichefu chefu kaandika kama anaimba taarabu otherwise kwa sasa nazani Tanzania ndo kinara wa dawa za kulevya LAFAMILIA NAZANI WATAKUWA WAMEHAMIA TANZANIA
 
nimebahatika kumfahamu huyu dada kipindi anakaa mwenge pale karibu na Sibuka Radio Mpakanjia alikuwa anakuja mida ya saa 7 anaingia ndani kwa huyu dada da! alikuwa anamfanya sana mpaka nakumbuka siku moja sikulala kabisa ilikuwa ni full userukamba .
 
Jaman me naomben mnitoe ushamba
hayo madawa huwa yatoka Tz kwenda nje je yanaingiaje?
Kuna kiwanda? Au materials ya kutengenezea yanaingia tofauti tofaut?


ni zao la biashara hapa ni substitute ya pamba na kahawa thats why mapapa hawawezi kushikwa sababu nchi itayumba
 
"Huu ni upepo tu na utapita"

Kubeba unga siku hizi kwa baadhi ya Watanzania is the new trend kwenye mainstream ya vijana wa ground zero.

Tatizo linalowaangusha hawa vijana mpaka wengi wao kukamatwa 'kiurahisi' ni ukosefu wa international exposure na current information kufahamu upepo wa vyombo vya ulinzi katika mipaka mbali mbali ukoje kwa wakati huo.

Inaonekana wengi wao wanawaamini sana hao drug baron na drug pushers wao kiasi kwamba hawafanyi research zao kabla ya kuanza safari na mizigo yao.

Hii notion ya get rich quick or die trying itawamaliza huku wengine wakisota kwenye magereza ya nchi mbali mbali.
 
kiukwel tunaitaji kuombeana Nchi ye2 iko pabaya coz uku mitaani mateja wamejaa uko Air ports pia mateja na wauzaji bac ni taabuu tupu.
 
1094764_493977180696516_2057258499_n.jpg

crazy pic from crazy chap?
 
Hivi Tz hatuna watawala.! Mambo yanayoendelea ya uvunjifu wa maadili yamezidi. Ningepewa urais japo wa siku moja ningefanya jambo. Tanzania nakuhurumia...
 
Alikuwa mwanaCCM hai, na atakuwa kaagizwa na mbunge mwanamke wa CCM wa 'vitu maalum' vya mkuu wa kaya. Nilijua tu iko siku yake
 
Street Money
~started with a nick now i see hundred bricks,started on the corner now nikka on 106,fifty on the chain,a grand for a chick and a whip is not a lease phantom on front yard this is the life champaigne poppin im in trump tower you see me among earners
~wema sepetu kawadatisha warembo mara vogue mara Q7 mara mjengo wa m400 noma sana



=========================
Ukipa Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
=========================
 
hivi hakustuka kama duniani kimenuka? mi nahisi hawa wanawake wa mjini wanachomeana so ka ni punda watch out trust no body..

get rich or die tryin ila si kwa ngada
 
Kamata punda meen

kabla ya yote nikikamata punda kama huyu naanza kumla mkia then taratibu za kumfunga maisha ndo zifuatie.
 
Mbowe nae anauza Unga.Linapokuja suala la unga,ni kama mtego wa panya.Umdhaniae na usiemdhania wote wamo.Biashara yoyote ya magendo haina misingi ya Dini wala itikadi za kisiasa.Tuache kutoa povu vita hivi vinahitaji jicho la tatu na wala si ushabiki.Wengine ni kaka,dada,baba,mama,shangazi,mjomba,babu na bibi zetu.TUKIACHA UNAFIKI TUNAWEZA KUPAMBANA VIZURI TU!
 
Back
Top Bottom