Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

na uzuri wote huo jamani,dah kweli ngada kwa tz iko na list ndefu hata usiowategemea
 
Na sasa wamebuni njia mpya...huyu kakamatwa Colombia Sept 11...mnaokagua muwe makini na wenye mimba...wengine ni fake


kuna wanadamu wasiohurumia hata miili yao
every pusher wants to be pasco escober
 
Yaani ameniacha hoi! hicho kinyago unaona huo mstari wa mwanamke mzazi kwenye kitovu ?
wenzetu siku zote watatuzidi tuu..hata ktk dili haramu safety ni priority...wabongo hata kubagain njia nyingine zitumike hawawezi..ndio maana wahidnia wanatufaidi sana ktk kutafuta mitaji.Ajira zao hutupa hela watakayo na bado kutulazimisha tushukuru na kufight kubaki kazini.
 

Mkuu mbona Aisha ana post pics kwenye FB na ameongea na blog na kusibitisha kama yupo uraia haja kwenda huko so called brazil mbona mnapenda kuchafua watu without strong evidence?
 
Wewe fanya research kwanza mbona amekanusha taarfa hzo
SOMA HAPA

Pengine ansubiri top members wa CCM wawaep brazil kitalu kingine cha mafuta na dili ya kujaza kuku ktk supermarket zetu ndipo aachiewe...nadhani mataifa sasa wanajua njia rahisi ya kununu africa...
 
Kwan wadau@Ritz ni ridhiwani kweli na amekua verified humu ama.maana naona watu wanamtupia makombora luve

Mkuu huyu jamaa anakaa burahati sio mtoto wa Rais anatumiaka kupata elfu 7 kwakuleta hoja hapa na yupo na account kibao ndio kazi yake ipo jf hana elimu yakupata kazi kwahiyo JF ndio sehemu yake yakupata elfu 7 namjua vizuri ukimuona kachoka sana hana mwili kama mtu kutoka ethiopia anapenda sana viroba sababu ya hali ya maisha yake na yupo karibu sana na Mods tafakari huchelewi kupata ban
 
Nasikitika tunahama kwenye mada lakn vitumbua havichomwi...waweza choma mahindi, mihogo, viazi lakini vitumbua vyaweza 'kaangwa' lakini huwezi kuvichoma...ni sawa na wanaosema 'kuchoma' chips????


usikurupuke...
Hivyo ulivyovitaja vinabanikwa.
 
Tuna ambiwa na wanasisiem, "Uchumi wa nchi umekua, angalia magari yamekuwa mengi...." Kumbe yote hayo ni kwa ajili ya madawa ya kulevya!
 
Hii ndio tanzania chini ya ccm mlegezo. Ni madawa ya kulevya kwa kwenda mbele. Lazima uraisi ununuliwe hela ya unga si ipo! Kwenye umeme wanaendalea kukwapua - ukijumlisha na hizi za mihadarati ukichanganya na umaskini wa watanzania, 2015 cdm wana kazi kubwa sana sana. Labda mungu ashushe baraka zake tuweze kuwaondoa hawa common criminals madarakani (ccm)
 

CCM ni janga la Taifa na ni Saratani, lazima ifutwe.Choma moto wezi haoooo,Weeeziiiiiiii, Weeeziiiiii.Fake people admire fake and weak leaders.KaGAME IS THE GREAT!Unamlinganisha na rais ambaye anaulizwa swali,'' kwanini nchi yako ni ,maskini na ombamba wakati ina kila kitu'' yeye anajibu:'' hata mimi nashangaa'' au unamlinganisha Kagame na mtu ambaye anajiita ''mtoto mwizi na mnafiki wa mkulima'' akibanwa kwa hoja anaanza kulia.Hawa watu ni aibu kwa Tanzania,Afrika na dunia.Aina ya viongozi hawa ni taswrira ya jamii wanayotokana nayo.Aibu gani hii Jamani!Ni zao la MaCCM.Tanzania twende sasa tuchukue silaha ya umoja tuyafute Majambazi haya yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, tutaifishe mali za majizi haya kwani yanajulikana,yafilisiwe na kizazi chao chote yafungwe jela maisha au yanyongwe:Fisadi,mnafiki,mzandiki, mwongo, mchawi-Wote ni watu wa kuchoma moto!T uamke mama Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…