Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,015
Reaction score
2,680
Hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Magomeni Kagera.

Polisi walilazimika kutumia risasi (kufyatua hewani) katika kuhakikisha wanawatia mbaroni. Anaitwa Mharami Chonji Mohamed.

Taarifa zaidi zinakuja

MUUZA MADAWA YAKULEVYA WA MAGOMENI ADAKWA…….

MANGE OCT 24,2014
UWIIIII HAYA CHONJI AMBAE NI MUUZA MADAWA MAARUFU WA MAGOMENIAMEDAKWA LIVE LIVE NA MADAWA YAKE NA POLISI NA SASA YUKO NDANI. YANI HUYU HATOKI TENA…UWIIIII SASA POLISI WAMEFIKA MAGOMENI……..UWIIII WALIOOLEWA NA MA DRUG DEALERS WA MAGOMENI MATUMBO JOTO SAA HIZI… HAHAHAHAHHAHAUWIIII TENA BESTI WA MUMEO NDO KAWEKWA NDANI, UWIIII NAHISI MUNAKUWA HAMLALI USIKU MNASIKILIZIA GETINI KAMA POLISI WAMEFIKA…HAHAHHHAHAHAAUWIIIIIII , JAMANI KUNA SIKU WATU WATAKUJA SEMA KUMBE MANGE ALIKUWA ANASEMA KWELI,,,HAAHAHAHAHAHAYA YETU MACHO……ACHA SIE TUUZE VINGUO TUPATE VIHELA VYETU HALALI, NA WAUME ZETU WAPINDE MIGONGO KWENYE OFISI ZA WATU WAPATE VISENTI VYA KULISHA FAMILIA……WANAOPENDA MTEREMKO NA MAISHA WASIOYAWEZA MPAKA WANAUZA MADAWA YA KULEVYA AU KUOLEWA NA WANAOUZA MADAWA YA KULEVYA KUNA SIKU WATAONA RANGI ZOTEEE………JAMANI MSHAONA MAMBO YAMEHARIBIKA WATAFUTIENI WAUME ZETU KAZI ZINGINE JAMANI HATA KAMA IT MEANS KWAMBA MKAISHIMBAGALA, SI BORA MKAISHI MBAGALA ILA USIKU MNALALA KWA RAHA BILA WASIWASI KULIKO KUTAKA KUISHI KWENYE MAGOROFA HUKU ROHO JUU JUU…..HAYA NGOJENI SASA SIKU MTOKE FROM MAGOROFA TO SEGEREA TO MTAMJUA NZOWA….SIMOOOOOOOOOOOOOO
KWA HABARI ZAIDI DUMBUKIA HUMU……



UPDATEEEEEE:::::
B.jpg


Hahhahaha hii story imewagusa wasomaji wangu huko, maana
inside informationa zinamwagika kwenye what'sapp yanguNiliona comment jana usiku mtu kaweka akielezea mkasa huu ulipoanzia na yeye alisema kitu very similar na hiki,ila kumbe its even worse hawakumpiga , walimteka then vijana wakambaka mtoto wa watu. Nilitaka kushangaa kupigwa tu ndowazazi wafatatilie kesi mpaka huko juu kumbe walimbaka bwana… Duh imagine umelea mtoto wa kiume ,lijali hajui ushoga wala ninileo mtu atume watu wambake mwanao kisa madaya ya kulevya,duh ningeua mtu……

A.jpg

Haya kila mtu anataka kuwa top in town kama Khadija Kopa kwa njia yoyote ile…. hahahahahhahahah

 
du hii inchi viongozi hadi wanaichi matatizo, uyo mdini nae kesho ndo kiongozi tena.
 
huyu jamaa ametupotezea vijana wengi sana na ata wengine kunyongwa,kutokana na kuwafanya Punda Madawa
 
Ndugu, Jamaa na wapambe wake wanajichanga muda huu kupeleka fungu kwa wazee wa favor. Kesho utaskia katoroka au ilikiwa ni aspirin hizo kwa kuwa mtuhumiwa ni mfanyabiashara wa maduka ya dawa. Policcm wetu bhana
 
ngoja tuone kama hizo kilo 7 za Heroin zitaonyesha zote kesho
 
Amekatwa na madawa ya kulevya au vitu vinavyohisiwa kuwa ni madawa ya kulevya? polisi wanatembea na vitendanishi (reagents) siku hizi? ukikamatwa na bidhaa inahiswa kuwa ni madawa wanapima faster at crime scene? au ndo zile hukumu zetu mtu kasema mwiziiiiiii basi tunaanza mawe, lete mafuta then kiberiti?
 
Hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Magomeni Kagera.

Polisi walilazimika kutumia risasi (kufyatua hewani) katika kuhakikisha wanawatia mbaroni. Anaitwa Mharami Chonji Mohamed.

Taarifa zaidi zinakuja

ok mbona jina lake linafafana na kipa WA zamani ?
 
ok mbona jina lake linafafana na kipa WA zamani ?
Tajiri wa Magomeni huyu. Ana ghorofa na ni mtu "anawaweka mjini maaskari kadhaa" kitendo kilichompa kibri na kujigamba 'kaiweka serikali mkononi'
 
Tajiri wa Magomeni huyu. Ana ghorofa na ni mtu "anawaweka mjini maaskari kadhaa" kitendo kilichompa kibri na kujigamba 'kaiweka serikali mkononi'

ngoja tuone Dpp mpya hatafanyaje,maana yule WA zamani nasikia alikuwa corupt
 
Back
Top Bottom