Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unaambiwa huyo bwana ni swala tano na anafunga na kwenda kuhiji na kuwafutrisha watu kumbe ...........
ngoja tuone Dpp mpya hatafanyaje,maana yule WA zamani nasikia alikuwa corupt
Dpp mpy hamna kitu na sawa na mvinyo uleule ila chupa ndiyo tofauti
hivi tujiulize mbona kesi za madawa haziishi na kutolewa hukumu, mfano wa k esi hizo ni, ya mareen liyumba, bakari kimambo na wairan ile kesi ya tanga, shkuba, kesi mbalimbali za wanigeria etcDpp mpy hamna kitu na sawa na mvinyo uleule ila chupa ndiyo tofauti
hivi tujiulize mbona kesi za madawa haziishi na kutolewa hukumu, mfano wa k esi hizo ni, ya mareen liyumba, bakari kimambo na wairan ile kesi ya tanga, shkuba, kesi mbalimbali za wanigeria etc
Tajiri wa Magomeni huyu. Ana ghorofa na ni mtu "anawaweka mjini maaskari kadhaa" kitendo kilichompa kibri na kujigamba 'kaiweka serikali mkononi'
Yaani acha tu naana polisi mkuu ni wao, kitengo maalum ni wao sasa sijui ndio maana wana kuwa hivo???!!!!
Chonji ni maarufu sana huyo jamaa anatoa misaada ya kuwasaidia wanaotaka kufanyiwa upasuaji wa MABUSHA
naskiaa kakamatwa na mzee mtama mchungu kama naye kadakwa dah balaa maana mzee hyo balaaa zte yumo
Huyu Mohammed Muharami alitajwa pia kwenye zile barua za wale wa TZ waliofungwa china
Pigo kwa wazungu wa kinondon
HAo askari kama ni tukio la kweli..aidha watahamishwa ama kufukuzwa kazi kabisaa hawafai kazini..kwa sababu wanaingilia kaz za wakubwa zao huko serikalini.
kwann unasema kino watapata pigo, ila mtamaa mzee wngu yule kitambo namjuaa dili zte yy visa, mihuri feki yeye, daah magumashi sanaaa mzee yule..ulikua ukienda kwake kama uko ubalozini mnasubiri kuhojiwa mpate viza