Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

ile majina ktk ile barua wote wauza sembe wametajwaaa jamaa walioandika hawajakosea, ilikuwa syo unafki kumcjafuliaa nani jina... Mkoroshokigoli

ofcourse ila yule jamaa alokamatwa mwanzon ishu yake iliripotiwa mara moja tu
 
Last edited by a moderator:
hivi tujiulize mbona kesi za madawa haziishi na kutolewa hukumu, mfano wa k esi hizo ni, ya mareen liyumba, bakari kimambo na wairan ile kesi ya tanga, shkuba, kesi mbalimbali za wanigeria etc

hivi shkuba amewekwa selo gani???
 
kilo 7 ukikutwa nazo hkuna dhamana ngoha tuone hi itakuwaje.....chonji mmakonde yule.. Mkoroshokigoli
 
Last edited by a moderator:
hivi shkuba amewekwa selo gani???
yuko lindi maana kuna watu fulani kino wakina hali...l walienda hko kjaribu mwekea dhamana au fanya mandingo atoke lakn jiiii aliunganishwa na kesi ya othman aliyekuwa na mtoto wa lyumba, ila mtoto wa lyumba alikuwa ana kanyagwa na othman jumba bovi tu limemkuta....ila alijua fika deal ya bwana wake huyo
 
Chonji ni maarufu sana huyo jamaa anatoa misaada ya kuwasaidia wanaotaka kufanyiwa upasuaji wa MABUSHA
Hayo ni mabush Kweli au wanaondoka wazima wakirudi kutoka huko wanakochukulia madawa ndio wanarudi na mabusha? Na unaweza kuta daktari anaefanya hiyo operesheni ni mmoja tene chini ya uangalizi wake, maana hawa jamaa ni wauaji.
 
kilo saba kubwa kuliko yale ya masogange? Hii itaambiwa kemikali ya kutengeneza chakula cha kuku.

masogange ile ilikuwa bado kuwa madawa ya kulevya wanasema na south afrika kesi kama hzo ni faini tu, sema tu wanatengenezea christal merth...ni noma sana na inaharibu sana ubongo....alafu ina bei kuliko heroin na ya pele
 
kilo 7 ukikutwa nazo hkuna dhamana ngoha tuone hi itakuwaje.....chonji mmakonde yule.. Mkoroshokigoli

kama wakuu walisafiri kwenda kumsafisha masogange na ule mzigo ulivunja rekodi, itakuwa hii kilo 7? yule ndugu yake rostam alikamatwa na kiasi gani kule Tanga, mpaka leo hakujawahi kuwa na kifungo, hapo utaambiwa alisingiziwa haikuwa cocaine, mkuu mwenyewe anayo list na kaka kimya.
 
Huyo hatafikishwa mahakamani hata mara moja, anachangia hela kwa CCM uchaguzi wa serikali za mitaa, marais na wabunge watarajiwa wamevuta escrow na wenyeviti wanachukua kwa hawa wafadhili, mchezo unakwisha.
 
Hamna picha za tukio kwa waliokuwa karibu? tujiridhishe kama ni kweli ni unga wa sembe!
 
kama wakuu walisafiri kwenda kumsafisha masogange na ule mzigo ulivunja rekodi, itakuwa hii kilo 7? yule ndugu yake rostam alikamatwa na kiasi gani kule Tanga, mpaka leo hakujawahi kuwa na kifungo, hapo utaambiwa alisingiziwa haikuwa cocaine, mkuu mwenyewe anayo list na kaka kimya.

me hata akistaafu ntaendelea kumdai majina ya wakwepa kodi,wala rushwa na wauza unga
 
kama wakuu walisafiri kwenda kumsafisha masogange na ule mzigo ulivunja rekodi, itakuwa hii kilo 7? yule ndugu yake rostam alikamatwa na kiasi gani kule Tanga, mpaka leo hakujawahi kuwa na kifungo, hapo utaambiwa alisingiziwa haikuwa cocaine, mkuu mwenyewe anayo list na kaka kimya.

ni kweli biashara hi ina link na vigogo wakubwa ni biashara ambayo itakuwepo na kuwepo sema tu kila kitu kina mwanzo na mwisho...kwa dealers, masongange alikutwa na efedrin vidonge vya kutengenezea madawa ila nia yake au alitumwa kuoeleka mzigo huo south afrika kuuza ambapo mwishowe wangetengeza crystal merth kitu kama hcho...south afrika ina market kbwa sana..na vidonge vya efedrin india viko sanaa na watu wanazingiza toka india tena kihalali kabisa nchini...especialy hawa watu wenye viwanda vya madawa
 
.. Mkoroshokigoli mimi nilizaliwa na kukulia mtaa ufipa miaka ile zamani hata chadema walikuwa hawapo mtaa wte walikuwa wanauza ngomaaa nyumba zote mtaa ulikuwa balaa yaani...kuna maskani ya aiax wauza unga wapo wengi alafu kuna mateja kama 100, ilibidi kitengo wapige kambi kuua biashara hapo.walikaa for miezi kama 3 kuna bosi mmja wa kitengo abaitwa ndaki alishanikamataga jamaa alidhamiriaa kuua biashara pale, maana aliyekuwepo na yupo wte ndani...kinondoni hakufai kwa unga kabisa
 
yaan ww umeielezea vzur sana Kino,naona manyanya kwa sasa hali ndio mbaya sana,lakini naona mateja mwananyamala,ukipita near mwananyamala hosptal ndo kuna kambi ya mateja wanaofanya rehab
 
manyanya pale wanauza kama wanalipa kodi ila kuanzia juzi defenda zinapitaa znawakamata mateja na wauzaji kna polisi wametoka depo....
alafu muda fulani nlipita mitaa ya chonji naona pametulia kna jamaa yangu mmja yko jirani anasema polisi waliokja hapo walikuwa ba wazungu tka france na polisi wa nzoa kitengo naskiaa waliwapa kichapo maana wengine walikuwa mazoezini gym si chonji ana gym na ana ma master waa kata naskia wacha wapigwe kna bondia mmja wa tz naye alikuwepo tena maarufu tu akatoka nduki aliruka ukuta baada ya kuona kichapo kikali
 
Huyu Bwana ni kati ya wafadhili wa CCM. Atatolewa tu.
 
Huyu Bwana ni kati ya wafadhili wa CCM. Atatolewa tu.

hatotoka kwa sasa atakaa kdg..maana kituo cha polisi magomeni usalama na urafiki kote kawashika wakuu wa vituo..ndomana hata alivyovamiwa hakupewa Info agizo imetoka juuu...kingine kuna vijana wamekamatwa ulaya kila wakiminywa wanamtaja kila wakiminywa wanamtaja ndomana wazee wa kazi tka nje wametia timu nchini wakafanya colabo na wkna nzowa wakaenda kumtiaaa nguvuni..
 
Inasikitisha sana, kwenye mapambano dhidi ya madawa ya kulevya hatuko serious kabisa. Hapa serikali inatakiwa itoe watu sadaka ya kafara hasa wale ambao ni mapapa na wamekamatwa live na hiyo kitu au wamepata ushahidi usiotia shaka. Watolewe sadaka kuokoa vijana, tusipokuwa waaangalifu rais muuza madawa ya kulevya ataingia ikulu na kututawala
 
Back
Top Bottom