ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
.. Mkoroshokigoli mimi nilizaliwa na kukulia mtaa ufipa miaka ile zamani hata chadema walikuwa hawapo mtaa wte walikuwa wanauza ngomaaa nyumba zote mtaa ulikuwa balaa yaani...kuna maskani ya aiax wauza unga wapo wengi alafu kuna mateja kama 100, ilibidi kitengo wapige kambi kuua biashara hapo.walikaa for miezi kama 3 kuna bosi mmja wa kitengo abaitwa ndaki alishanikamataga jamaa alidhamiriaa kuua biashara pale, maana aliyekuwepo na yupo wte ndani...kinondoni hakufai kwa unga kabisa
Mkuu unanikumbusha waakina Ali Moja na timu yenu ya Ufipa ya Ajax.
Last edited by a moderator: