Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule dada nae anaroho ngumu kuolewa na mume muuza unga mmh nampa hongera zake mi navyo waogopa hao watu .
maisha nikujituma ndugu yangu wangapi wameishia form4 au la Saba wanamaisha bora kuliko waloenda chuo... Kinachowaangaisha ni tamaa tu hamna kingine ....Mie nawasuport them kuuza unga,bongo hamna opportunities kama huna shule kaa mtaani jobless na ndugu wanakutegemea uone joto labda wangeazisha projects/skills cheap kuaquire na sio tu kubase na academical only kwamba ukjshindwa form four ama six ndio baasi kuwe na altrnative, courses cheap mtu anaweza kusoma(vocational) akapata cheti na kupata kazi if we have a working nation we will have a better economy
eeeeheee kazi kweli kweli analala na kuamka bila wasiwasi du kweli udada wa mjini kazi tamaa ya kuvaa mabling bling yanamwisho wakeTamaa mbaya...kutaka maisha ya juu bila kazi ya maana hapa mjini...wenyewe wanajiita wadada wa mujini...
kweli kabisa wangapi watu wananza chini na wanafanikiwa taama tumaisha nikujituma ndugu yangu wangapi wameishia form4 au la Saba wanamaisha bora kuliko waloenda chuo... Kinachowaangaisha ni tamaa tu hamna kingine ....
maisha nikujituma ndugu yangu wangapi wameishia form4 au la Saba wanamaisha bora kuliko waloenda chuo... Kinachowaangaisha ni tamaa tu hamna kingine ....
Mie nawasuport them kuuza unga,bongo hamna opportunities kama huna shule kaa mtaani jobless na ndugu wanakutegemea uone joto labda wangeazisha projects/skills cheap kuaquire na sio tu kubase na academical only kwamba ukjshindwa form four ama six ndio baasi kuwe na altrnative, courses cheap mtu anaweza kusoma(vocational) akapata cheti na kupata kazi if we have a working nation we will have a better economy
Mie nawasuport them kuuza unga,bongo hamna opportunities kama huna shule kaa mtaani jobless na ndugu wanakutegemea uone joto labda wangeazisha projects/skills cheap kuaquire na sio tu kubase na academical only kwamba ukjshindwa form four ama six ndio baasi kuwe na altrnative, courses cheap mtu anaweza kusoma(vocational) akapata cheti na kupata kazi if we have a working nation we will have a better economy
Mhh yani wana mbaka mwanaume mwenzao
kweli kabisa wangapi watu wananza chini na wanafanikiwa taama tu
Roughly ni wangapi wanaanza ground zero wakafaulu,just estimates...
yaani hawaoni uchafu jamani!!
Basi tujifunze kuridhika shosti....tuizoeshe mioyo yetu kukinai...
Sasa mtu ana kupato kidogo halafu anataka makubwa...unadhani mwisho wake nini?
Wa moja havai mbili...akivaa itapwaya....ndo hivyo sasa Mama la mama anapumulia mashine..
Nipe umbea mie nani huo aliekamatwa na mkewe ni nanii niwaandike hapa nipate la kuongea
Wamekamatwa Madon wa sembe wa Magomeni akiwemo Chonja (muuzaji maarufu)
Chonja ni rafiki wa karibu wa Mume wa Shamim Mwasha..blogger wa 8020 blog...Duru za kiumbea zinaripoti kuwa Mume wa Shamim..(Abdul Nsembo) naye anasakwa na vijana wa Nzowa coz anashiriki katika madeal ya Sembe...
Hiyo stori nayo toka j3 kuna best yangu ndio lawyer wake ila abdul ameponea chupuchupu kukamatwa mana naskia alitoka tu ndio police wakavamia wamekuta unga 7kg pia wamewapa kipogo balaa hao jamaa