mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
.. bosco makoi hiyo ni kawaida tu duniani kote iko hivyo
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake halisi ni Rashid Jabu kijana alkyepata elimu yake kisiwani Unguja, lakini anajiita Rumishael Mamkuu Shoo. Alianza kwa kuuza simu za used, na sasa kawa milionea kwa pesa ya sembe. Yeye na Nasoro Mangunga 'Short' ndio mzigo wao ulikamatwa Afrika Kusini walioubeba akina Masogange.
Kwa muda mrefu sasa Rumi amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Mellisa ambaye alikamatwa pamoja na Masogange, huku Mangunga akiwa na uhusiano wa kimapenzi na Masogange. Hawa ni miongoni mwa vijana wenye bidii sana ya kuchezea pesa kwa watoto wa Bongo Flava.
Hawa ndio wanaohusika hasa na kuharibika kwa Chid Benz na marehemu Ngwair.
Ova
View attachment 196893
Binadamu hunishindi Mimi yani nilikua namuonaga Dada decent shoga kuna Siku nilikutana nae sehemu mh kwelii tangu awe high class amekua Ana dharau alinipotozea coz mie sikua nafit in wanataka matawi wenzao mh Dnt judge a book by its cover hata Kama is hu itazimwa tushajua bembwe za eve collections zote za sembe mjini
Na urembo hakukuvutia?? Yale macho ya kikombe mantashallahh
Huyu Shamimi Mwasha aliwahi kuwa classmate wangu, daaah ghafla nikaskia "kayapati!" kumbe mkanda ndio huu! All the best!
Haya maongezi mengine wasapu ndio pahala pake.
Watu walikamatwa na robo tani na wamesharudi pakistan.hii ndiyo bongo kaka mtu mmoja vyeti viwili vya kuzaliwa na bado anadundaAsikudanganyeni mtu ukikamatwa na kuanzia kilo moja ukafikishwa mahakamani umekwenda na maji.
Labda mnisaidie kwenye hii miaka ya nzowa nani mnayemjua alikamatwa na zaidi ya kilo moja akafikishwa mahakamani halafu akatoka
hivi tangu uanze kusikia watanzania wamekamatwa na madawa ya kulevya iwe nje ya nchi au ndani ya nchi ulishawahi kusikia mmoja wao amehukumiwa?
Hahahaha .......Atakua Mashali tumanyanya pale wanauza kama wanalipa kodi ila kuanzia juzi defenda zinapitaa znawakamata mateja na wauzaji kna polisi wametoka depo....
alafu muda fulani nlipita mitaa ya chonji naona pametulia kna jamaa yangu mmja yko jirani anasema polisi waliokja hapo walikuwa ba wazungu tka france na polisi wa nzoa kitengo naskiaa waliwapa kichapo maana wengine walikuwa mazoezini gym si chonji ana gym na ana ma master waa kata naskia wacha wapigwe kna bondia mmja wa tz naye alikuwepo tena maarufu tu akatoka nduki aliruka ukuta baada ya kuona kichapo kikali
Kanijibu vizuri tu,inaelekea we muuza bwimbwi roho inakupwita.
Halafu hiyo sembe wanamuuzia nani hasa?
Maana mateja wengi wamefulia tu. Sasa hizo hela wanazotengeneza kwenye hiyo biashara zinatoka kwa nani?
Una maana atapiga sindano hata wanafamilia wake? Stori za kwenye vijiwe vya kahawa hizi....
FBI na CIA ndiyo biashara yao kubwa unga.Mimi ndio maana nasema bila ya fbi/cia kuja kuharibu huu mtandao , siamini kama kuna jipya
Huyu dogo alitakiwa kupigwa risisa, wamewafanya ndugu zetu wamekuwa wehu.