Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Pole aisee yaani kuna watu wanaonekana wanakula mema ya nchi kumbe yote hayo yanatokana na sembeyaani wengine tupo tunahenyeka na malesson plan na mitoto mitukutu
wenzetu hawana habarrii
ni ngumu kuisha hii bizness kama ndo hivyoo
