Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

nipo poa kabisa biyee sana wengi wa bongo wanapenda kuiga maisha ya kina kardashian maisha ya kitamthilia hawajui kuwa wao wanalipwa na show off character kwenye mitandaoni una kuta mdada anajifanya duu kazi haijulikani wala sources ya income kumbe ni sembe

shenzy kabisa na wanyongwe tu
show off zote tupa kulee!!
 
Chonchi alikuwa na mbwembwe sana japo alikuwa anajua kuwasaidia watu sanaaa ndo mana ukienda daybreak ni kama kuna msiba lakini ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka,issue ni kuwa alimfanyizia mtoto wa mkubwa mmoja wa jeshi aliyestaafu (nowadays ni balozi huko Asia) sasa mkubwa kaona isiwe tabu kaenda kuchonga na JK personally what follows u know it(ref Babu seya na wanawe) nasikia chonchi alijitutumua akamwambia kamanda nzowa atampa mil 200 amuache asepe nzowa akasema atampa mil 600 wasonge mbele za haki................hii nchi we acha tu

Dah, nchi Ina wenyewe hii. Sisi wengine wasindikizaji tu. Jamaa sijui alijiamini nini kumfanyizia mtoto wa Shimbo...
 
ilikua ni hatari nakuambia...yaani polisi walivyovamia hata angekua fit vipi asingeweza kutoroka...alijitahidi nae kurusha risasi lakini wapi...huyo mwenzie ana machale sana sijui kajifukia wapi

shukrani kwa mganga wake
 
mrs sembe yupo ndani ya gorofa mbezi beach,atamkumbuka baba iqra,ndo faida ya kutaka pochi za loius vuitto,michael kors,na kutaka kupush range,huku wengine wanalia watoto wao wanaharibika kwa unga,wakamatwe tu hawa

yaani nilivyokua namheshimu shamim kumbe hana lolote na yeye
 
Chonchi alikuwa na mbwembwe sana japo alikuwa anajua kuwasaidia watu sanaaa ndo mana ukienda daybreak ni kama kuna msiba lakini ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka,issue ni kuwa alimfanyizia mtoto wa mkubwa mmoja wa jeshi aliyestaafu (nowadays ni balozi huko Asia) sasa mkubwa kaona isiwe tabu kaenda kuchonga na JK personally what follows u know it(ref Babu seya na wanawe) nasikia chonchi alijitutumua akamwambia kamanda nzowa atampa mil 200 amuache asepe nzowa akasema atampa mil 600 wasonge mbele za haki................hii nchi we acha tu

Huyo mtoto w balozi shi.....mbo nae drug dealer istoshe nzowa hakatai hela ila kma kuna mkono mzito lazma awe mpole,pia unga above 10m hauna dhamana
 
Mrs Sembe yupo ndani ya gorofa mbezi beach,atamkumbuka baba Iqra,ndo faida ya kutaka pochi za LOIUS VUITTO,MICHAEL KORS,na kutaka kupush range,huku wengine wanalia watoto wao wanaharibika kwa unga,wakamatwe tu hawa

Mnajua mtandao
 
chonchi alikuwa na mbwembwe sana japo alikuwa anajua kuwasaidia watu sanaaa ndo mana ukienda daybreak ni kama kuna msiba lakini ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka,issue ni kuwa alimfanyizia mtoto wa mkubwa mmoja wa jeshi aliyestaafu (nowadays ni balozi huko asia) sasa mkubwa kaona isiwe tabu kaenda kuchonga na jk personally what follows u know it(ref babu seya na wanawe) nasikia chonchi alijitutumua akamwambia kamanda nzowa atampa mil 200 amuache asepe nzowa akasema atampa mil 600 wasonge mbele za haki................hii nchi we acha tu

mtoto wa kishimbo?!!
 
yaani nilivyokua namheshimu shamim kumbe hana lolote na yeye

Binadamu hunishindi Mimi yani nilikua namuonaga Dada decent shoga Luna Sikh nilikutana nae sehemu mph kwelii tangu awe high class amekua Ana dharau alinipotozea coz mie sikua nafit in wanataka matawi wenzao mh Dnt judge a book by its cover hata Kama is hu itazimwa tushajua bembwe za eve collections zote za sembe mjini
 
ulikuwa unamheshimu kwa lipi hasa?

the way anavyojifanya mjasiriamali
kuandaa semina za wanawake na events tofauti
kiasi ambacho mi km mwanamke natamani yaani nifanyr vile
kumbe ndo walewale aisee
kweli usione ukadhani
 
binadamu hunishindi mimi yani nilikua namuonaga dada decent shoga luna sikh nilikutana nae sehemu mph kwelii tangu awe high class amekua ana dharau alinipotozea coz mie sikua nafit in wanataka matawi wenzao mh dnt judge a book by its cover hata kama is hu itazimwa tushajua bembwe za eve collections zote za sembe mjini

pole wangu ndo walivyo wadada wa mjini
tuone nyodo zitaishia wapi..?!!
Yaani mdada anavyojifanya descent yulee
aisee kumbe ndo walewale kina jaky cliff
 
the way anavyojifanya mjasiriamali
kuandaa semina za wanawake na events tofauti
kiasi ambacho mi km mwanamke natamani yaani nifanyr vile
kumbe ndo walewale aisee
kweli usione ukadhani

Ni wanawake wa aina gani ambao huenda kwenye hizo semina zake?

Wasomi wenye shahada na walio exposed kama akina Modesta Mahiga au wale wamiliki vi boutique vya mjini kama Dida?

Niliwahi kumwona kwenye runinga siku moja akifanya mahojiano na wala sikuvutiwa kabisa na upeo wake pamoja na uwezo wake wa kujieleza.
 
Aailimia 90 ya wanaomiliki showroom za magari hapa DSM no drug dealers, ndio wanavyotakatisha pesa zao
 
Back
Top Bottom