Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

mnumbwangu mkuu kwanini usianzishe uzi wako! ww huoni kama umeweka uzi ndani ya uzi mwingine! halafu inaonyesha una habari nzuri sana! embu ipandishe basi kabla sijakimbilia zangu r-chuga maana huku dar majanga

Hahahaaaaa ni habari nzito aisee
 
Last edited by a moderator:
Nipo poa kabisa biyee sana wengi wa bongo wanapenda kuiga maisha ya kina kardashian maisha ya kitamthilia hawajui kuwa wao wanalipwa na show off character kwenye mitandaoni una kuta mdada anajifanya duu kazi haijulikani wala sources ya income kumbe ni sembe

Wewe acha tu mume wangu alitaka kuungana nao nilikataa kabisa....nilimuambia akiingia tu nampeleka polisi mwenyewe sitaki pesa haramu mimi....imagine sasa hivi na mimi ningekua na hali gani???tuyakubali tu maisha yetu ya kawaida jamani...
 
ulisimama kidete..........
 
Yote hii kupenda sifa mjini...kututisha insta na brands za ukweli kumbe ni unga ndio unaowaweka mjini...Mungu anaona tunasubiri tuone hizo pesa zao zina nguvu kiasi gani...bora sasa magomeni tutapumua jamani..looh ilikua shiiiidah na hizo ndinga

kila siku wanabadilisha na dharau nje nje
 
Kwa taarifa yenu wana jf !! Mkuu wa kaya yupo china rais wa china kampa pesa kibao sana kwa ajili ya miradi mbalimbali miongoni mwa masharti aliyompa ni kuangamiza kabisa wauza unga sasa mjiandee watakamatwa sana kipindi hiki mpaka jk anatoka madarakani, na wanapigwa sindano za sumu order kutoka china subirini au la mjisalimishe wenyewe !!!

wera weraaaaaaaaaaa na prinsiiiii pia akamatwee
 
Wafilisiwe hao na fedha yote ikajenge maabara za shule maana wamechangia kwa kiasi kikubwa kuangamiza nguvu kazi ya taifa hili
 
Wamekamatwa Madon wa sembe wa Magomeni akiwemo Chonja (muuzaji maarufu)
Chonja ni rafiki wa karibu wa Mume wa Shamim Mwasha..blogger wa 8020 blog...Duru za kiumbea zinaripoti kuwa Mume wa Shamim..(Abdul Nsembo) naye anasakwa na vijana wa Nzowa coz anashiriki katika madeal ya Sembe...

Huyu Shamimi Mwasha aliwahi kuwa classmate wangu, daaah ghafla nikaskia "kayapati!" kumbe mkanda ndio huu! All the best!
 
Na RUMMY akamatwe Nzowa pita mitandaoni usome majina ya wanaotajwa muwashughulikieee,natamani wangekamatwa China teh teh iwe kama Jack hapa bongo kesi unaweza shtukia imezimwaa lo
 
nI hUYU NINI AKIWA NA kAJARA
photo-001.JPG

Abdul Nsembo, kampuni yake inaitwa Nsembo Transport, iko migomigo, Aliyeolewa ni Shamim blogger wa 8020fashions.com​
 
WANAOUZA MADAWA YA KULEVYA KUNA SIKU WATAONA RANGI ZOTEEE………
Hapo chacha
 
Mie nawasuport them kuuza unga,bongo hamna opportunities kama huna shule kaa mtaani jobless na ndugu wanakutegemea uone joto labda wangeazisha projects/skills cheap kuaquire na sio tu kubase na academical only kwamba ukjshindwa form four ama six ndio baasi kuwe na altrnative, courses cheap mtu anaweza kusoma(vocational) akapata cheti na kupata kazi if we have a working nation we will have a better economy

Sidhani kama kila aliyesoma ana guarantee ya kuwa na maisha mazuri na sidhani ukiwa haujasoma sana basi lazima maisha yakushinde.
Wapo watu ambao elimu yao ndogo na wamejiajiri lakini sio kwenye biashara ya madawa ya kulevya na wamefanikiwa maishani.
Ukosefu wa ajira usihalalishe ufanyaji biashara haramu kama madawa ya kulevya.Je,
hao waliosoma na bad
o hawakufanikiwa kupata ajira unataka na wao wauze madawa ya kulevya?
 
Na RUMMY akamatwe Nzowa pita mitandaoni usome majina ya wanaotajwa muwashughulikieee,natamani wangekamatwa China teh teh iwe kama Jack hapa bongo kesi unaweza shtukia imezimwaa lo

Hivi na Rummy wadada wanao mgombania naye kumbe ana deal na sembe inabidi akamatwe hela ana honga mademu huku vijana wanaangamia bado siku yake
 
Kwa taarifa yenu wana jf !! Mkuu wa kaya yupo china rais wa china kampa pesa kibao sana kwa ajili ya miradi mbalimbali miongoni mwa masharti aliyompa ni kuangamiza kabisa wauza unga sasa mjiandee watakamatwa sana kipindi hiki mpaka jk anatoka madarakani, na wanapigwa sindano za sumu order kutoka china subirini au la mjisalimishe wenyewe !!!

Una maana atapiga sindano hata wanafamilia wake? Stori za kwenye vijiwe vya kahawa hizi....
 
Back
Top Bottom