Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

.. bosco makoi hiyo ni kawaida tu duniani kote iko hivyo
 
Last edited by a moderator:

sawa mdakuzi naona umetiririka vya kutosha khsu hyo jamaaa...maana tnamskia kuwa ana sumbua sana mjini hapa
 

Mashost niwaambie mtu akishakuwa matawi hata kama mlisoma naye atajidai hakujui mimi mwenzio huwa nikimuona bidada napitaga kando japo nilisoma naye Mkwawa miaka hiyo.
 
Na urembo hakukuvutia?? Yale macho ya kikombe mantashallahh

Kama vile ulikuwa kichwani mwangu maana kidogo nimwulize hivyo hivyo. Ila ukiachilia urembo, yupo poa kichwani.

Aliye karibu nae amwambie acheki tovuti ya kampuni yake b'se web safe is blocking the site as is listed as having malicious content.
 
Niliposikia stori ya huyu jamaa amekamatwa niliamini labda nzowa amanza kukaza.... kumbe mpaka ilipotokea kijana wa watu watu amebakwa na wazazi wake wakakomaa na inaonekana kuna mkubwa wanamjua ndio maana watu wakaingia kazini kukamata group hiyo,, hiiii inakumbusha ile ya paapaaaaaa M, kwa iyo bongo bila ya incident mbaya inayowagusa wakubwa na jamaa zao business as usual..
 
Asikudanganyeni mtu ukikamatwa na kuanzia kilo moja ukafikishwa mahakamani umekwenda na maji.
Labda mnisaidie kwenye hii miaka ya nzowa nani mnayemjua alikamatwa na zaidi ya kilo moja akafikishwa mahakamani halafu akatoka
Watu walikamatwa na robo tani na wamesharudi pakistan.hii ndiyo bongo kaka mtu mmoja vyeti viwili vya kuzaliwa na bado anadunda
 
.. donniebrasco ni kweli alfu nzowa hao aliwakamia muda mrefu alikuwa anawasubiria waingie kwenye 18 yake wakione cha moto....huyo muuzaji alijiamini sana mpka anaka na kg 7 ndani...anafanya biashara hiyo kama analipa kodi
 
Last edited by a moderator:
hivi tangu uanze kusikia watanzania wamekamatwa na madawa ya kulevya iwe nje ya nchi au ndani ya nchi ulishawahi kusikia mmoja wao amehukumiwa?
 
hivi tangu uanze kusikia watanzania wamekamatwa na madawa ya kulevya iwe nje ya nchi au ndani ya nchi ulishawahi kusikia mmoja wao amehukumiwa?

nje wengi tu wamehukumiwa ila ndani ya nchi ndiyo kunakuwaga na utata...wengi wamekamatwa lkn bado wako rumande tu
 
Hahahaha .......Atakua Mashali tu
 
Mimi ndio maana nasema bila ya fbi/cia kuja kuharibu huu mtandao , siamini kama kuna jipya
 
Kanijibu vizuri tu,inaelekea we muuza bwimbwi roho inakupwita.

Uliza vizuri utajibiwa watu tunaoendesha vita dhidi ya madawa ya kulevya tunaeleweka wazi hapa JF na misimamo yetu.

Bila kumsahau Mkuu EMT ni kinara wa vita dhidi ya hawa wahuni wanaotajirika huku watoto wetu wakizidi kuharibika na kuwa mazezeta.
 
Last edited by a moderator:
Halafu hiyo sembe wanamuuzia nani hasa?

Maana mateja wengi wamefulia tu. Sasa hizo hela wanazotengeneza kwenye hiyo biashara zinatoka kwa nani?

Mkuu hawa mateja wa bongo wanauziwa vumbi tu, soko halisi ni kwa mzee Zuma na China.

Bongo ni warehouse tu ya kuhifadhi mzigo ukitoka shamba na unaingizwa kwa njia ya bahari shehena kubwa kubwa za makilo.
 
Una maana atapiga sindano hata wanafamilia wake? Stori za kwenye vijiwe vya kahawa hizi....

Mkuu hata mimi nashangaa maana Miraji mwenyewe maeneo yake ya kuuzia ni Kinondoni na kaka yake ni master dealer.
 
Huyu dogo alitakiwa kupigwa risisa, wamewafanya ndugu zetu wamekuwa wehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…