Wakuu
Uchawa unavuka boda sasa
==
Msanii wa Hip Hop, Madee, kupitia Instagram, amemtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa mashabiki wa Arsenal kwenye mechi ya jana, Desemba 27 dhidi ya Ipswich, akisema kuwa anaunga mkono juhudi za Rais katika sekta ya michezo.
View attachment 3186877
Pia, Soma: Rais Samia alivyopiga simu usiku kwenye pambano la 'KO ya Mama'
Aliahidi kuwa kuanzia mechi ijayo, itakuwa na goli la "Mama Arsenal" na kwamba 2025 itakuwa mwaka wa ushindi kwa Rais Samia na Arsenal.
View attachment 3186879
View attachment 3186878