Pre GE2025 Madee aipeleka picha ya Rais Samia London kwenye mchezo wa Arsenal na Ipswich

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wasanii wetu wanaupuuzi mwingi sana Hadi wazungu wanawashangaa sana huko
 
White house is red😀😹😹
 
Hv Hawa kenge wanajua kuwa samia, atapita, na hii misifa wanayompa haitakuwepo, kitakachobaki ni umaskini na ufukara tu
 
Sasa wewe ulitaka aipeleke picha ya Lissu au?😁
 
Njaa kali na imehamia kichwani
 
Hii hii Arsenal yangu inayoanza kasi na kumaliza pumzi ikiwa imekata je haiwezi kumtilia nuksi mnene wa nji ya Tz ?
 
Safi sana Madee
 
Wacha wehh naona biznes trip huko kaenda

Ova
 
Hii nchi mpaka siku tuje kujitambua tuna safari ndefu sana ase.
 
Bora huyu kuliko Mwijaku anapiga makelele Paris watu hawamwelewi mpaka aibu, afadhali vile alivyo mweusi watu walifikiri ni wa South Sudan
 
Hilo goli la mama anapewa yeye au hela inatumwa clabuni Uingereza?! Machawa wezi sana kmmk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…