MADEE AKIAMKA VIZURI FIESTA , itakuwa noma sana

MADEE AKIAMKA VIZURI FIESTA , itakuwa noma sana

Saitot

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
613
Reaction score
152
Kwa mtizamo wangu , kama huyu jamaa akiamka vizuri kabisa siku ya fiesta hao ma international wataisoma namba!!! Akishusha hv vitu viwili tu kazi kwisha
NANI KAMWAGA POMBE YANGU !!
Amalizie na TEMA MATE TUMCHAPE itakuwa balaa ? Kwani wabongo huwa tunaimbishwa na tunaimba zaidi nyimbo za kwetu hasa zinazohit , ..asibaniwe basi!!
 
Kweli kikishakuwa tabia, ubongo hauifikiri tena. Yaani, hizi nyimbo zenye maneno haya watu wanaimbishwa.
 
Yani madee ndo afunike hyo fiesta ya machoko? Kwa hzo nyimbo za nursery au zipi?
 
TEMA MATE TUMCHAPE siujui.. Na mm nazeeka kama matumbo mweh
 
Last edited by a moderator:
Yani madee ndo afunike hyo fiesta ya machoko? Kwa hzo nyimbo za nursery au zipi?

hivi haya matusi ndio hoja za kumpinga mtoa mada?
Matusi ni ishara ya kushindwa na mtu dhaifu ndio ufikiri matusi ni suluhu.
 
naona vijana wa bongofleva mmeanza kutambua umuhimu wa jf.siku za nyuma ilikuwa ni nadra sana kukutana na thread kama hizi,tulizoea kuziona fb.mnakaribishwa ila ficheni upumbavu wenu.
 
hivi haya matusi ndio hoja za kumpinga ishara ya kushindwa na mtu dhaifu ndio ufikiri matusi ni suluhu.

hoja yangu: Madee afunke na hzo nyimbo za watoto wa nursery,.? Wapi nimemtusi mtoa hoja? Aje ajibu mwenyew
 
Back
Top Bottom